MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
ACHA PUNYETO MKUU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje...Wapiga nyeto ni sawa na wavuta ndumu wanawasiwasi kuwa wanajulikana ila ukweli ni kwamba wanajulikana.Kwnza mpiga puri macho yanaingia ndani,kifua kinatuna sambamba na mkono wa kushoto halafu chini unapungua kama mtu mwenye polio.
Atakuwa active memberUmejuaje...
KweliAtakuwa active member
Matajiri hatulali. Wakati nyie mnalala sisi tunatafakariMatajiri wamelala sahivi, unafuata nini huku mida hii?
Tofautisha kutafakari na stress, wewe una stress, wataalamu wa saikolojia tunafahamuMatajiri hatulali. Wakati nyie mnalala sisi tunatafakari
Kwani hupati kweli Sophy?🤣🤣😂😂😂Niko hospitali alafu Dokta ninaemsubir aliwahi niambia nitakuwa sipati nyege 😂😂😂Leo sijui Kuna mpya gani🙌😀
HahhaKwani hupati kweli Sophy?🤣🤣
Swali langu hujajibu🤣🤣 lakini si genye zipo? Ili tumpuuze Dr wako..Hahha
Sijui aliona dalili gani ya mm kutokupata hamu 😀😀
uende na mimba ili ajue nyege ulizipata ukazitumia...!😂😂😂Niko hospitali alafu Dokta ninaemsubir aliwahi niambia nitakuwa sipati nyege 😂😂😂Leo sijui Kuna mpya gani🙌😀
Nadhani amekusaidia sana, Kama kila ukitaka kupiga punyeto dushe linalala, basi kweli alikuwa na akili akili darasaniUmri umeenda, upara umeanza kuninyemelea, naamini ni jambo la kawaida, sasa leo nimekutana na jamaa tulisoma nae, alikuwa na vijiakili vya darasani sasa amekuwa daktari wa binadamu.
Baada ya kuniona akaniambia natakiwa niache punyeto maana inanizeesha, aloo hasira zilipanda kidogo nimrukie vichwa dabo dabo.
Huyu dokta hana msaada zaidi ya kuongeza namba ya vifo tu huko hospitalini. Hapa kila nikijaribu kushtua napata picha ya yale maneno yake ya hovyo, dushe linalala kwa hasira.
Hili ni lazimauende na mimba ili ajue nyege ulizipata ukazitumia...!