KIDON, unawajua hawa? The deadliest killing machine

m ntakuwa nachukua mazoezi ya kuendesha pikipik kwa stlye za hatari.ukirud we m naajiriwa kama helper.mbona watakuwa waadilifu.no kuuza
wanyama,no kuweka pesa nnje,no kufisadi.kila mtu atakuwa muoga.chezea kuvumuzishwa kabla sir god mwenyewe ajaamua

jamaa yangu umenifurahisha kweli
 
Yeah jamaa wako vizuri, ila katika intelijensia zote duniani kuna vikundi ndani yake vyenye majukumu ya kutekeleza mauaji tu. Hata hapa nchini kipo
 
Ivi cha Tanzania kina itwaje? mossad007 embu pita huku...
 
Last edited by a moderator:
I think the book titled "By way of Deception by Victor Ostrovisky" has got many details to tell including the stories of what Kidon did to assassinate some of the Israel perceived enemies.
 
Marekani baada ya september 11 ilianzishwa assasination unit chini ya CIA.Kazi yake ilikuwa ni ku hunt down and kill wote waliokuwa involved

Bush aliidhinisha kitengo hicho huku akijitoa kweny mzunguko wa maamuzi.Baadae CIA ili out source assasinations kwa private contractor Black water ambao sasa hivi wanaitwa Academia

Kazi za assasinations ni ngumu sana.Na kisheria hairuhusiwi.Israel pekee ndo ina sera rasmi ya mauaji
 
I think the book titled "By way of Deception by Victor Ostrovisky" has got many details to tell including the stories of what Kidon did to assassinate some of the Israel perceived enemies.

thanks mkuu, vipi unacho unipatie
 
Hawa jamaa ni noma sana. Ndio waliotumika kuua wale wote waliohusika na utekaji nyara na kuuawa kwa wanamichezo wa Israel kwenye mashindano ya Olympic ya Munich, Germany mwaka 1972. Movie ya "Munich" inahusu suala hilo. Pia Kitabu cha Lillehammer Affair kinasimulia jinsi Kidon kwa kushirikiana na vitengo vingine vya MOSSAD walivyomsaka na kisha kumuua kimakosa Ahmed Bouchiki huko Lillehammer, Norway wakidhani ni mastermind wa Olympic Massacre Ali Hassan Salameh.

Mara ya mwisho hawa jamaa kusikika kwenye vyombo vya habari ni pale walipoenda Dubai kama watalii kutoka nchi mbalimbali na kumuua Ofisa wa ngazi ya juu wa Hamas Mahmoud Al-Mabhouh kwenye chumba cha Hoteli aliyofikia. Kamera za Usalama za Uwanja wa ndege ziliwaonyesha toka wanawasili Dubai. Kamera za Hotelini zliwaonyesha tangu wakiwasili hotelini hapo mpaka wauwaji walipokuwa wakiingia kwenye chumba cha bwana Mabhouh na kutoka baada ya kumaliza kazi wakiwa wameshika tennis rackets wakipozi kama vile wanaenda kucheza tennis.

Ulitokea mtafaruku mkubwa wa kidiplomasia kwani majasusi hao wa Israel walisafiri kwa kutumia passport za nchi mbalimbali kama Australia, Belgium, Italy,Sweden n.k. Israel kama kawaida yao wakawa ambiguous (hawakukubali wala hawakukanusha).
 
Yes I have the book in soft copy. Just PM your email. I also request you to send me those that you have in soft copies
nimeshakuPM email yangu, cha kwangu nimesha upload tayari hapo juu kwenye post Ndahani
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa ni noma sana. Ndio waliotumika kuua wale wote waliohusika na utekaji nyara na kuuawa kwa wanamichezo wa Israel kwenye mashindano ya Olympic ya Munich, Germany mwaka 1972. Movie ya "Munich" inahusu suala hilo. Pia Kitabu cha Lillehammer Affair kinasimulia jinsi Kidon kwa kushirikiana na vitengo vingine vya MOSSAD walivyomsaka na kisha kumuua kimakosa Ahmed Bouchiki huko Lillehammer, Norway wakidhani ni mastermind wa Olympic Massacre Ali Hassan Salameh.

Mara ya mwisho hawa jamaa kusikika kwenye vyombo vya habari ni pale walipoenda Dubai kama watalii kutoka nchi mbalimbali na kumuua Ofisa wa ngazi ya juu wa Hamas Mahmoud Al-Mabhouh kwenye chumba cha Hoteli aliyofikia. Kamera za Usalama za Uwanja wa ndege ziliwaonyesha toka wanawasili Dubai. Kamera za Hotelini zliwaonyesha tangu wakiwasili hotelini hapo mpaka wauwaji walipokuwa wakiingia kwenye chumba cha bwana Mabhouh na kutoka baada ya kumaliza kazi wakiwa wameshika tennis rackets wakipozi kama vile wanaenda kucheza tennis.

Ulitokea mtafaruku mkubwa wa kidiplomasia kwani majasusi hao wa Israel walisafiri kwa kutumia passport za nchi mbalimbali kama Australia, Belgium, Italy,Sweden n.k. Israel kama kawaida yao wakawa ambiguous (hawakukubali wala hawakukanusha).

yah tena katika ile timu ya mauaji alikuwepo mwanamke naye alinaswa na kamera, hawa ni hatari sana beefinjector
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom