KIDON, unawajua hawa? The deadliest killing machine

KIDON, unawajua hawa? The deadliest killing machine

Ndio maana nasema kama wao ni bora wakamuassassinate Rouhani na Al Assad
1.hiki kitengo kinapewa Order! So usiseme mbona hawajawaua hao, hawajiamulii. Wanapewa amri kutoka kwa ma-bosi nani auawe baada ya kufanya analysis ya kutosha kama kuna umuhimu wa kufanya hivyo! Israel haitaki Iran itengeneze Nuclear bomb, na rais wao amekubali kusitisha program hiyo sasa kum assasinate ya nini?
2. Ukimzungumzia Assad, ameshakuwa vulnerable kiusalama, suala la mda tu tena haitajiki kitengo km hiki kufanya hiyo kazi, angalia Saddam na Gaddafi ndio style atakayopotezwa Assad, angalia tayari amekubali kupokonywa silaha zake za Nerve Gas, vituo vyake vya jesh na silaha vinalipuliwa kukicha! unajua kwa nini amekubali kupokonya silaha muhimu? Hana option na mwisho wa siku watamdaka tu
3. Hassan Rouhani yuko moderate na cooperative zaidi kuliko alivyokuwa Ahmedinajad, amekubali kusitisha mpango wa kutengeneza nuclear tayari! Anajua option ya Military intervention iko mezani! Hana option, yeye na Khamenei wamepima wameona bora kusitisha. AL SHARPTON
 
Last edited by a moderator:
Team ya Mossad uwa na 4 groups..
1. Surveilance (kufuatilia target)
2. Communication (link between other groups)
3. Kidon (execution)
4. Rescue team (kuitorosha team nzima baada ya Operesheni)
Operation Wraph of God hiyo ya Beirut tho ilpangwa na mossad lakini ilifanywa na Sayeret Matkaal.. "elite unit" hakukuwa na kidon hapo
 

Attachments

  • munich.jpg
    munich.jpg
    12.7 KB · Views: 1,255
  • Munich[2005]DvDrip.jpg
    Munich[2005]DvDrip.jpg
    79.7 KB · Views: 1,250
Team ya Mossad uwa na 4 groups..
1. Surveilance (kufuatilia target)
2. Communication (link between other groups)
3. Kidon (execution)
4. Rescue team (kuitorosha team nzima baada ya Operesheni)
Operation Wraph of God hiyo ya Beirut tho ilpangwa na mossad lakini ilifanywa na Sayeret Matkaal.. "elite unit" hakukuwa na kidon hapo

1.mkuu upo sawa hapo kwenye team ya mossad, ila mimi nimezungumzia kwa ufupi specifically kwenye hiyo assasination unit, kidon katika style hiyo ya mauaji ya kutumia pikipiki nayo inakuwa na watu 4

2. operation wrath of god mabali na hao commandos kuhusika pia KIDON nao walihusika

This is similar to former Mossad katsa Victor Ostrovsky's description of Mossad's own assassination teams, the Kidon. In fact, Ostrovsky says in his book that it was Kidon units that performed the assassinations.[9] This is supported by author Gordon Thomas who was given access to the debriefing reports submitted by the eight Kidon and 80 member backup team that were involved in the assassinations.[10] (hiki kitabu nime apload hapo juu)

Another report by author Aaron Klein says that these teams were actually part of a unit called Caesarea, which would be renamed and reorganized into Kidon in the mid-1970s.[11] Harari eventually commanded three Caesarea teams of around 12 members each. They were each further divided into logistics, surveillance, and assassination squads.[12]

One of the covert teams was revealed in the aftermath of the Lillehammer affair (see Ali Hassan Salameh section below), when six members of the Mossad assassination team were arrested by Norwegian authorities. Harari escaped to Israel, and it is possible that others were able to evade capture with him. An article in Time magazine immediately after the killing put the total number of Mossad personnel at 15,[13] which would also be similar to the above descriptions.

3. ni kweli OWG ya beirut haikufanywa na Mossad hivyo kidon hawakushiriki, na ni kutokana na ugumu wa mazingira kwa wao kufanya yao ndio wakawatumia units nyingine zaidi ya mbili. mimi sikuizungumzia sana operation hiyo, niliigusia tu kwa sbb ilikuwa moja ya yaliyopelekea kuundwa kwa unit hiyo

Three of the targets on the Mossad's list lived in heavily guarded houses in Lebanon that were beyond the reach of previous assassination methods. In order to assassinate them, Operation Spring of Youth was launched as a sub-operation of the larger "Wrath of God" campaign. On the night of April 9, 1973,1.Sayeret Matkal, 2.Shayetet 13, and 3.Sayeret Tzanhanim commandos landed on the coast of Lebanon in Zodiac speedboats launched from Israeli Navy missile boats offshore. The commandos were met by Mossad agents

so units nyingi zimeshiriki, kulingana na mazingira, uhalisia n.k japo shughuli ilikuwa ya mossad

mwisho sie tunasoma vitabu tunapata machache, mengi zaidi wanajua wao. nashkuru mkuu
 
Hawa jamaa inaonekana ni hatari sana. Hivi hawawezi kukodiwa wakafanya mauaji kwa niaba ya nchi nyingine?
 
Ashekanaz inaaminika ndio watu wenye IQ kubwa duniani. Na ndio members wa mossad. Hawafai hawa jamaa
 
hawa jamaa wako juu sana, na hawashuki kiwqngo wala kutishwa na taifa lolote, sera yao kukulinda kabla ya kushambuliwa , wanakuanza wao.. ukiwawahi basi utajutia maana. utakamatika tu
 
Back
Top Bottom