OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Angeanza hata na Karate na Judo kwanza.....Krav Maga ni kumu-overdose
Yawezekana yupo sawa upande wa kata ndo maana kataka kuwajua wazee wa combo!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angeanza hata na Karate na Judo kwanza.....Krav Maga ni kumu-overdose
Nasubiri kitabu.......nataka kujua mbinu zao mbalimbali.......
Una mpango wa kuzitumia?
Yes.......unazijua unifundishe........
sawa, ila tunaangalia sehemu nzuri yao.. kwenye intelijensia wako vizuri sana lazima tuwasifie Dreson4
na pia wao ni binadamu, kwa hiyo hawako perfect lakini wanabaki kuwa bora kwa sasa kwenye assasinations
1.hiki kitengo kinapewa Order! So usiseme mbona hawajawaua hao, hawajiamulii. Wanapewa amri kutoka kwa ma-bosi nani auawe baada ya kufanya analysis ya kutosha kama kuna umuhimu wa kufanya hivyo! Israel haitaki Iran itengeneze Nuclear bomb, na rais wao amekubali kusitisha program hiyo sasa kum assasinate ya nini?Ndio maana nasema kama wao ni bora wakamuassassinate Rouhani na Al Assad
Team ya Mossad uwa na 4 groups..
1. Surveilance (kufuatilia target)
2. Communication (link between other groups)
3. Kidon (execution)
4. Rescue team (kuitorosha team nzima baada ya Operesheni)
Operation Wraph of God hiyo ya Beirut tho ilpangwa na mossad lakini ilifanywa na Sayeret Matkaal.. "elite unit" hakukuwa na kidon hapo