Kidudu kidogo sana kuzdi hata kibamia, nifanyaje nakimbiwa


Mjomba usifadhaike.
Tafiti nyingi zinaonyesha kuridhika kwa mwanamke wakati wa kitendo hakuna uhusiao na ukubwa wa uume wako.
Nachoona hapa ni kuwa wewe mwenyewe unajinyanyapaa.
Jarbu kuwa mbunifu na uwe unajituma.Kuna njia nyingi za kumridhisha msichana wako wakati wa kitendo na akatulia na wewe.
 
Zaidi ya kibamia ndo nchi ngapi iyo mdau?au moja na nusu ikiwa imedinda,maana kwa maelezo yko kila nkijenga picha hainijii akilini..."kidude kidogo mno hawajapata kuona"lol
Ushaambiwa kidogo
 
Tafuta mvu tembo/dondora alie hai , halafu muweke kwenye kiboksi kidogo halafu weka mashine yako humo akikuuma tu toa kitu itakua tayar baada kma wik 1. inch3
 
Inaonekana uliwahi kutahiriwa ,tumia maufund kwa sana
 
Inaonekana uliwahi kutahiriwa ,tumia maufund kwa sana

kuna mti mmoja sehem nyingi hasa dodoma unafahamika kama MYEGEYA...cjui kwa kiswahili wanaitaje, una matunda makubwa marefu....ulizia jinsi ya kuutumia, unaaminika kuongeza maumbile ya kiume
 
wakaka wenye vibamia wana hasira wanaweza hata wakakunyonga hahahahhahuwiiiii
yaani alafu wakishaanza kufikisha 40 zaidi ile stmina ya ujana ikipotea basi wanavisasi balaaa wananuna nuna kama nini
mkuu wewe umepata nguvu ya kuandika hapa nadhani unaelekea kulisolve tatizo lako
 

Ur very smart.
 

tafuta hela watakufata wenyewe...
 


​@gagas uje na ukuuu mkuuu
 
hahahahaha nmefurah sna
 
Weka picha!

Aweke picha ya nn sasa jamani? hata mi kitu cha ni kama soseji lkn namwandaa mdada na kuhakikisha amekuwa tayari ndio.naingia na anaridhika ukickia wanvyonigombea best huwezi amini maana kuna wengine wanakitu kama chupa ya soda lkn hakuna kitu
 
Aweke picha ya nn sasa jamani? hata mi kitu cha ni kama soseji lkn namwandaa mdada na kuhakikisha amekuwa tayari ndio.naingia na anaridhika ukickia wanvyonigombea best huwezi amini maana kuna wengine wanakitu kama chupa ya soda lkn hakuna kitu

Nipe ujuzi mkuu
 

Ukitaka kula sharti uliwe mdogo, aah sina maana hiyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…