Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
habar ndg zng
mficha maradh kifo humuumbua,mm ni kijana wa miaka 26,nafanya kaz sekta ya utalii,toka ujana wng cjapata bahat ya kudum na mwanamke,nmekuwa nkpendwa sna na wanawake lkn kla bada ya kufanya nao tendo mapenz huyeyuka na kuachwa solemba,mpka imefka wakat nkazoea hyo hal nkawa nam na hit an run kma walvyokuwa wananfanyia wao,mpka ss nmetembea na mabnt zaid ya 60 nmechoka nahtaj wa kuoa,tatzo wengne wanasema kabsa zair nawachafua kdudu chang kdogo sna hawajapata kuona,nifanyaje na nmeshatumia dawa nyng za asil hazkunsaidia ni utapel mtupu na za kichna naziogopa?
Mjomba usifadhaike.
Tafiti nyingi zinaonyesha kuridhika kwa mwanamke wakati wa kitendo hakuna uhusiao na ukubwa wa uume wako.
Nachoona hapa ni kuwa wewe mwenyewe unajinyanyapaa.
Jarbu kuwa mbunifu na uwe unajituma.Kuna njia nyingi za kumridhisha msichana wako wakati wa kitendo na akatulia na wewe.