Kiduku "Kim Jong Un" rais wa Korea Kaskazini umwambii kitu juu ya huyu Nigga, Mmarekani pekee mwenye free Visa ya Korea Kaskazini

Walikua wanamchafua tu hakuna Gay mwenye misimamo na akili ya maendeleo kwa Nchi yake...
Usikariri mzee... Gayism ni hatari na most of prominent people wako kwa hiyo kitu. Ni zaidi ya ujuavyo.
 
Ukishakua gay hauwezi kua na rafiki ambae sio.
NB.
Nimefikiria tuu haiusiani na uzi.
Wabongo utawaweza sasa? Ukiwa Gay wanakutenga, wakiona uko na ukaribu na straight bas wanasema mnakulanaa.

Mxxxxxiiiiieeeeew
 
Kuna wanaume mnakera, yaani mawazo yenu yoote ni ushoga! Watu wakiwa karibu tu eti wanakamuana, inamaana nyie mnaowaza hivo hamna washkaji zenu mlioivana bila kukazana?
Bora wee uulize, maana imekua too much sasa khaaah
 
Walikua wanamchafua tu hakuna Gay mwenye misimamo na akili ya maendeleo kwa Nchi yake...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ujinga ndo mlionao wabongo, sijui nani aliwaambia mtu akiwa Gay hawezi kua na akili au misimamo kwa ajili ya maendeleo ya maisha yake.

Kuna mwingne alikua anawaburuza class, wakaishia kumuambia "hata km una akili sana na utafika had PhD ila ajira huwezi kupata"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo wamevurugwaa balaaa.
 
Kim atakua analiwa sio kwa lile wowowo
Kama la Sir Makonda.
Ana zigo sana yule mpuuzi.
Zamani wakati wa utafutaji hajajipata hakua na wowowo alikua tako bapa. Sijui yamemsibu yapi mtoto wa kiume kua na zigo lote lile la kuvunja chaga. Zigo la kushawishi mabazazi.
 
Denis Rodman, duuh NBA miaka ya 1997, 1998, 1999 tukiwa machalii wadogo alikuwa na Michael Jordan [MJ]

Hatari sana

Na mtu mmoja anaitwa Scott pipen. Ilikuwa balaa Sana
 
Achana na hii post ya wikipedia. Mimi nimeona documentary mwaka huu mwezi wa 9 nadhani. Humo yeye rodman mwenyewe kwa kimywa chake anamkandia kiduku na akaeleza ilikuwaje akaenda North Korea.
Documentary haihusu safari ya Rodman ila inahusu Kim Dynasty wanaanzia babu yake, baba yake hadi alivyomuua ndugu yake yule kwa sumu airport hadi kahojiwa mtoto wa huyo ndugu yake. Rodman pia kuna sehemu kahojiwa.
Ukimsikiliza utagundua hakwenda Korea kama rafiki wa Kim hata hilo bandiko uliloweka halikusema hivyo. Kama baadaye alikuja kumpa sifa basi ilikuwa baadaye baada ya kwenda Korea.
Kwenye hiyo documentary anamkandia.
 
Usikariri mzee... Gayism ni hatari na most of prominent people wako kwa hiyo kitu. Ni zaidi ya ujuavyo.
Hapana sio kwa Kim mazee huyo kima anajitambua mno mno daah huyo Rodman alishaeleza kuwa alikua anamkubali toka utoto wake na ni kweli Rodman kwenye kikapu alifanya vizuri sana pamoja na Tyson na wote hao anawakubali..
 
Usidanganywe bhana kuhusu Kim amepewa kashfa zote wengine walishamzushia kafa...media za Magharibi zinafika mbali sana kaweka sheria ngumu kuhusu hao wahuni harafu yeye awe Gay mnafikiri vizuri kweli...watu anaowakubali ni Rodman na Tyson ambae yeye alihojiwa na kusema alitumia muda mwingi sana kuwaangalia akiwa mtoto...
 
Denis Rodman, duuh NBA miaka ya 1997, 1998, 1999 tukiwa machalii wadogo alikuwa na Michael Jordan [MJ]

Hatari sana
Kweli mkuu miaka ya 90's Denis Rodman na Michael Jordan utawafahamu tu hata kama huna interest na basketball. Ni km Ronaldo na Messi kwa sasa hata kama hupendi football lazima uwajue as long as uko hai na una akili timamu.
 
Mm nitakua wa mwisho kuamini kwamba Kim ni shoga. Halafu mtu unakaa unaamini documentary zilizoandaliwa na wamarekani na unajua fika wamarekani hawampendi jamaa.
 
Hapana sio kwa Kim mazee huyo kima anajitambua mno mno daah huyo Rodman alishaeleza kuwa alikua anamkubali toka utoto wake na ni kweli Rodman kwenye kikapu alifanya vizuri sana pamoja na Tyson na wote hao
Ushoga unafanywa faraghani. Ushoga hauondoi ujasiri wa mtu. Kim ni GAY!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…