Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Hii inajulikana kitambo tuuKim atakua analiwa sio kwa lile wowowo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inajulikana kitambo tuuKim atakua analiwa sio kwa lile wowowo
Usikariri mzee... Gayism ni hatari na most of prominent people wako kwa hiyo kitu. Ni zaidi ya ujuavyo.Walikua wanamchafua tu hakuna Gay mwenye misimamo na akili ya maendeleo kwa Nchi yake...
Nakiri kukosea uko sahihiNi North Korea sio South Korea
Uongo mtupuu,Ushoga ni kifo pale south korea
Wabongo utawaweza sasa? Ukiwa Gay wanakutenga, wakiona uko na ukaribu na straight bas wanasema mnakulanaa.Ukishakua gay hauwezi kua na rafiki ambae sio.
NB.
Nimefikiria tuu haiusiani na uzi.
Wee ni muongo sanaa, kawadanganye wasio jua.Wee thubutu hata kumshika bega tu mwanaume unazana usa pale .hakuna uhuru hata tone mpaka nywele tu u apangiwa
Bora wee uulize, maana imekua too much sasa khaaahKuna wanaume mnakera, yaani mawazo yenu yoote ni ushoga! Watu wakiwa karibu tu eti wanakamuana, inamaana nyie mnaowaza hivo hamna washkaji zenu mlioivana bila kukazana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ujinga ndo mlionao wabongo, sijui nani aliwaambia mtu akiwa Gay hawezi kua na akili au misimamo kwa ajili ya maendeleo ya maisha yake.Walikua wanamchafua tu hakuna Gay mwenye misimamo na akili ya maendeleo kwa Nchi yake...
Sio kwamba kiduku ndio ana kuamua!Kim atakua mchicha mwiba sio bure!!!
Kama la Sir Makonda.Kim atakua analiwa sio kwa lile wowowo
Ilitokaga Netflix siikumbuki jina but ilifungiwa. Ilikua ina reveal gayism ya KiM
Denis Rodman, duuh NBA miaka ya 1997, 1998, 1999 tukiwa machalii wadogo alikuwa na Michael Jordan [MJ]
Hatari sana
Hata wee pia huwezi fikiriaUtakua Mwalimu wa msingi au sekondari, manake hao uwezo wao wa kufikiri unaishia mahali macho yanapoweza kuishia kuona.They can't think critically.
Achana na hii post ya wikipedia. Mimi nimeona documentary mwaka huu mwezi wa 9 nadhani. Humo yeye rodman mwenyewe kwa kimywa chake anamkandia kiduku na akaeleza ilikuwaje akaenda North Korea.
Hapana sio kwa Kim mazee huyo kima anajitambua mno mno daah huyo Rodman alishaeleza kuwa alikua anamkubali toka utoto wake na ni kweli Rodman kwenye kikapu alifanya vizuri sana pamoja na Tyson na wote hao anawakubali..Usikariri mzee... Gayism ni hatari na most of prominent people wako kwa hiyo kitu. Ni zaidi ya ujuavyo.
Usidanganywe bhana kuhusu Kim amepewa kashfa zote wengine walishamzushia kafa...media za Magharibi zinafika mbali sana kaweka sheria ngumu kuhusu hao wahuni harafu yeye awe Gay mnafikiri vizuri kweli...watu anaowakubali ni Rodman na Tyson ambae yeye alihojiwa na kusema alitumia muda mwingi sana kuwaangalia akiwa mtoto...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ujinga ndo mlionao wabongo, sijui nani aliwaambia mtu akiwa Gay hawezi kua na akili au misimamo kwa ajili ya maendeleo ya maisha yake.
Kuna mwingne alikua anawaburuza class, wakaishia kumuambia "hata km una akili sana na utafika had PhD ila ajira huwezi kupata"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo wamevurugwaa balaaa.
Kweli mkuu miaka ya 90's Denis Rodman na Michael Jordan utawafahamu tu hata kama huna interest na basketball. Ni km Ronaldo na Messi kwa sasa hata kama hupendi football lazima uwajue as long as uko hai na una akili timamu.Denis Rodman, duuh NBA miaka ya 1997, 1998, 1999 tukiwa machalii wadogo alikuwa na Michael Jordan [MJ]
Hatari sana
Ushoga unafanywa faraghani. Ushoga hauondoi ujasiri wa mtu. Kim ni GAY!Hapana sio kwa Kim mazee huyo kima anajitambua mno mno daah huyo Rodman alishaeleza kuwa alikua anamkubali toka utoto wake na ni kweli Rodman kwenye kikapu alifanya vizuri sana pamoja na Tyson na wote hao