Kiduku "Kim Jong Un" rais wa Korea Kaskazini umwambii kitu juu ya huyu Nigga, Mmarekani pekee mwenye free Visa ya Korea Kaskazini

Sasa dada ina maana wewe hujui jamaa shoga toka enzi za Chicago bulls
Kuna wanaume mnakera, yaani mawazo yenu yoote ni ushoga! Watu wakiwa karibu tu eti wanakamuana, inamaana nyie mnaowaza hivo hamna washkaji zenu mlioivana bila kukazana?
 
Denis Rodman, duuh NBA miaka ya 1997, 1998, 1999 tukiwa machalii wadogo alikuwa na Michael Jordan [MJ]

Hatari sana
 
Sidhani kama ni kweli. Niliona docentary ya kim kwrnye history channel na kati watu waliohojiwa ni rodman. Kwanza hakumzungumzia vizuri Kim. Pili hata ile safari yake korea hakualikwa na Kim na wala haukuwa mpango wake mwenyewe. Alisema alibidi aende mchezaji mwingine wa NBA kwenye sijui ufunguzi wa masuala gani ya basket kule.
Jamaa alipata dharura ndipo wakamchagua aende yeye badala yake.
So story za kwamba yeye na kiduku ni marafiki nadhani si kweli. Hiki ninachokisema alikisema yeye rodman kwenye documentary hiyo.
Kwanza alimkandia kuwa wakati amefika kule yuko ukumbini mara watu wakaanza kupiga makofi na kunyanyuka wanatoa machozi yeye akadhani wanampgia yeye.
Kumbe kim anaingia yeye hata hakuwa amemwona kim.
Akamkandia jamaa ni tyrant wanamwona kama Mungu mambo kibaoa alikandia.
Hujui lolote wewe
Screenshot_20231213_215147_Wikipedia.jpg
Screenshot_20231213_215220_Wikipedia.jpg
Screenshot_20231213_215244_Wikipedia.jpg
Screenshot_20231213_215357_Wikipedia.jpg
Screenshot_20231213_215417_Wikipedia.jpg

Sidhani kama ni kweli. Niliona docentary ya kim kwrnye history channel na kati watu waliohojiwa ni rodman. Kwanza hakumzungumzia vizuri Kim. Pili hata ile safari yake korea hakualikwa na Kim na wala haukuwa mpango wake mwenyewe. Alisema alibidi aende mchezaji mwingine wa NBA kwenye sijui ufunguzi wa masuala gani ya basket kule.
Jamaa alipata dharura ndipo wakamchagua aende yeye badala yake.
So story za kwamba yeye na kiduku ni marafiki nadhani si kweli. Hiki ninachokisema alikisema yeye rodman kwenye documentary hiyo.
Kwanza alimkandia kuwa wakati amefika kule yuko ukumbini mara watu wakaanza kupiga makofi na kunyanyuka wanatoa machozi yeye akadhani wanampgia yeye.
Kumbe kim anaingia yeye hata hakuwa amemwona kim.
Akamkandia jamaa ni tyrant wanamwona kama Mungu mambo kibaoa alikandia.
 
Kutoka nchini Marekani, Dennis Rodman ndiye rafiki pekee wa Bwana Kiduku.

Yaani mchizi anaingia Korea Kaskazini muda wowote anaotaka, anakaa na rais na kupiga stori. Yaani mchizi ni mwanaye kishenzi na ndiye aliyempa jina mtoto wa kiduku.

Mchizi akiendaga Korea, anapokelewa vizuri, anakula bata na Kiduku na akimaliza anasepa zake. Tuliokuwa tunafuatilia basketball enzi za Michael Jordan na Chicago Bulls yake tunamjua. Hata kwenye muvi tuliona aliigiza na Van Damme muvi iitwayo Double Team.

Oyaaaa!!!
Walking ghost! Ndege wafananao utembea pamoja!
 
Back
Top Bottom