Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Kiduku ni Gay kama ulikua hujui.Ushoga ni kifo pale south korea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiduku ni Gay kama ulikua hujui.Ushoga ni kifo pale south korea
Kim ni Gay na kuna movie ilitokaga sema ikapigwa pin ikielezea maisha binafsi ya huyo kiduku. He is simply GAY!Jasusi wa CIA...
Ila kashaacha ushoga...
Ukaribu wake na Kim nadhani wote watakua gay,s....
Coz everybody know jamaa ni shoga kitambo tu!!
you are lying kuna jama alikua mwalimu wa Lugha hio hio korea anakuambia Ushoga umekoma sana hapo kwa kiduku tena wazi wazi masela wana show love even class
Kim ni Gay na kuna movie ilitokaga sema ikapigwa pin ikielezea maisha binafsi ya huyo kiduku. He is simply GAY!
unahakika?Alikuongopea
Au unahis alianza kuniambia 2 kam storyAlikuongopea
Sio kweli vya wazunguKiduku ni Gay kama ulikua hujui.
Hapana sio double agent....W
Mi nadhani anaweza kuwa double agent.
Na magauni yake ya harusii 🤣🤣🤣 na opaaresheni za lipsSio kweli vya wazungu
Kuna wanaume mnakera, yaani mawazo yenu yoote ni ushoga! Watu wakiwa karibu tu eti wanakamuana, inamaana nyie mnaowaza hivo hamna washkaji zenu mlioivana bila kukazana?
Kim atakua analiwa sio kwa lile wowowoKim ni Gay na kuna movie ilitokaga sema ikapigwa pin ikielezea maisha binafsi ya huyo kiduku. He is simply GAY!
Ilitokaga Netflix siikumbuki jina but ilifungiwa. Ilikua ina reveal gayism ya KiMIliigizwa na kina nani?
Walikua wanamchafua tu hakuna Gay mwenye misimamo na akili ya maendeleo kwa Nchi yake...Ilitokaga Netflix siikumbuki jina but ilifungiwa. Ilikua ina reveal gayism ya KiM
Hujui lolote weweSidhani kama ni kweli. Niliona docentary ya kim kwrnye history channel na kati watu waliohojiwa ni rodman. Kwanza hakumzungumzia vizuri Kim. Pili hata ile safari yake korea hakualikwa na Kim na wala haukuwa mpango wake mwenyewe. Alisema alibidi aende mchezaji mwingine wa NBA kwenye sijui ufunguzi wa masuala gani ya basket kule.
Jamaa alipata dharura ndipo wakamchagua aende yeye badala yake.
So story za kwamba yeye na kiduku ni marafiki nadhani si kweli. Hiki ninachokisema alikisema yeye rodman kwenye documentary hiyo.
Kwanza alimkandia kuwa wakati amefika kule yuko ukumbini mara watu wakaanza kupiga makofi na kunyanyuka wanatoa machozi yeye akadhani wanampgia yeye.
Kumbe kim anaingia yeye hata hakuwa amemwona kim.
Akamkandia jamaa ni tyrant wanamwona kama Mungu mambo kibaoa alikandia.
Sidhani kama ni kweli. Niliona docentary ya kim kwrnye history channel na kati watu waliohojiwa ni rodman. Kwanza hakumzungumzia vizuri Kim. Pili hata ile safari yake korea hakualikwa na Kim na wala haukuwa mpango wake mwenyewe. Alisema alibidi aende mchezaji mwingine wa NBA kwenye sijui ufunguzi wa masuala gani ya basket kule.
Jamaa alipata dharura ndipo wakamchagua aende yeye badala yake.
So story za kwamba yeye na kiduku ni marafiki nadhani si kweli. Hiki ninachokisema alikisema yeye rodman kwenye documentary hiyo.
Kwanza alimkandia kuwa wakati amefika kule yuko ukumbini mara watu wakaanza kupiga makofi na kunyanyuka wanatoa machozi yeye akadhani wanampgia yeye.
Kumbe kim anaingia yeye hata hakuwa amemwona kim.
Akamkandia jamaa ni tyrant wanamwona kama Mungu mambo kibaoa alikandia.
Kim ana akili gani sasa???Walikua wanamchafua tu hakuna Gay mwenye misimamo na akili ya maendeleo kwa Nchi yake...
Ushoga ni kifo pale south korea
Walking ghost! Ndege wafananao utembea pamoja!Kutoka nchini Marekani, Dennis Rodman ndiye rafiki pekee wa Bwana Kiduku.
Yaani mchizi anaingia Korea Kaskazini muda wowote anaotaka, anakaa na rais na kupiga stori. Yaani mchizi ni mwanaye kishenzi na ndiye aliyempa jina mtoto wa kiduku.
Mchizi akiendaga Korea, anapokelewa vizuri, anakula bata na Kiduku na akimaliza anasepa zake. Tuliokuwa tunafuatilia basketball enzi za Michael Jordan na Chicago Bulls yake tunamjua. Hata kwenye muvi tuliona aliigiza na Van Damme muvi iitwayo Double Team.
Oyaaaa!!!