safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Kujaribu kumfavor mwanamke unayetaka kumtongoza aisee kosa kubwa saaaana.
1. Umekutana na dada amekaa kwenye siti yako ya dirishani usimuache akae hapo hata kama unataka kumtongoza, mwambie nahitaji kukaa kwenye hiyo siti ambayo nimeshaikatia tiketi. Atakuona ni shujaa, hatokuchukulia poa.
Kuacha kufanya hivyo anakusoma kwamba ni dhaifu, anakusoma kwamba unaogopa uwepo wake, so kwa kipengele hiko yeye ni strong kuliko wewe na bila shaka mwanamke atahitaji mwanaume strong than her hivyo hautafiti kumpata.
2. Upo zako ofisini dada anavunja utaratibu wa foleni anataka umhudumie mwanzo yeye,make sure unamuambia kistaarabu kwamba hauwezi kumhudumia kwa sababu amevunja utaratibu na umkomalie.
Kwa kufanya hivyo atakuona mwanaume shupavu usiyemuogopa hivyo unaweza kumuongoza na atatafsiri kwamba wewe ni strong than her.
3. Mdada anataka kukukopa hela please mwambie kistaaraabu kwamba pesa ninayo lakini kuna issue nazisolve hivyo sitoweza kukupatia,tanguliza vipaumbele vyako.
Kwa kumnyima hela na kumuambia kwamba kuna issue unafanya atakuona kama mtu unayefocus na goals zako hauyumbishwi.
4. Mdada kama amekukuta sehemu na hajakusalimia basi na wewe usimsalimie kabisaa kabisa na act kama hayupo wala usianze kumuangaliaangalia kwa kuibia maana atakuona tu hata kama hakuangalii.
Kausha,vunga na subiri kilichokuleta na kama una shida na yeye usianze kumsalimia wala usianze kwa samahani,why uanze kwa samahani ?
Badala ya neno samahani tumia neno "NAWEZA" mfano "DADA NAWEZA KUJUA NI SAA NGAPI KWA SASA?"
"Naweza kupata msaada wako uniazime simu nipige kwani yangu imekwisha chaji".
Achana na neno samahani kwa vitu vya kawaida,sahau neno samahani.
Sio kila mahusiano yalianza vizuri,kuna ambao walifahamiana kibabe na mahusiano yakaanza,so usidhani kwamba BEING TOO ROMANTIC KWA DADA NDIO NJIA PEKEE.
5. Usimsifie moja kwa moja tafadhali,tafadhali sana usimsifie moja kwa moja dada yeyote hata kama amependeza.
achana na kusifia kwani atakuweka kwemue kundi la wanaume wengine ambao wamekuwa wakimsifia kabla hata hajakutana na wewe,kwa kumsifia tu utakuwa umejitia kitanzi.
Badala yake nenda straight kwenye kitu chake kilichomfanya apendeze na hakikisha unaweka na sababu za kwa nini hiko kitu ni kizuri.
UKISIFIA INDIRECT HUKU UNATOA NA SABABU HIYO ITAFANYA SIFA HIYO IONEKANE YA DHATI,YAANI IMETOKA MOYONI YAANI NI GENUINE NA SIO ILE YA KUFOJI.
mfano tu.
Hili gauni ni zuri sana,nimependa namna lilivyokukaa vizuri,halijakushika bali limekuacha comfortable,sijajua kama umelinunua kama lilivyo ama ulilipunguza ?
NAweza kujua ulinunua wapi ?
Then maongezi mengine yatafuata.
Mfano wa 2.
MakeUp yako ni nzuri sana,licha ya joto la dar lakini bado unaonekana mkavu,ni makeup gani unatumia ?
MFano wa 3.
Saa uliyovaa ni nzuri nimependa zaidi namna ilivyoendana na size ya mkono wako,haionekani kuwa oversize,ulinunua bei gani ?
Yani hakikisha unatoa na sababu ya kwa nini umependa kitu chake,ukisifia tuu kwamba kitu fulani kizuri bial kutoa sababu hiyo sifa itaonekana ni feki sio genuine.
Kwa kusifia kitu chake indirectly utakuwa umemsifia yeye.
6. sema pole badala ya samahani.
Epuka kutumia neno samahani ili siku ukija kulitumia lisipoteze thamani yake.
Umemtoa kwenye nafasi yako mwambie pole sana sio samahani.
Usijaribu kuwa dhaifu ili uwavutie wanawake,be a man,be straight to the point,uipoteze muda kwa maneno dhaifu.
Mwisho : YOU WILL LOSE A LOT OF MONEY CHASING WOMEN,BUT YOU WILL NEVER LOSE WOMEN CHASING MONEY