Kidume inabidi uwe tough kwa demu unayetaka kumtongoza, utampata kwa urahisi

Ila au basi acha tu nikae kimya
 
Hawa ndio wanasemaga "Real Man don't chase, Attract" ajabu sasa mpaka anafika 26+ hajawahi kua na dem na anakuja kuoa 30+

Halafu unakuta dogo tu fundi garage miaka 20 ana pisi yake kali tu inaenda ghetto...
 
Hela yenyewe unaitafuta mwisho wa siku unakuja kwa hao wanawake sii bora niwakimbize hao wanawake moja kwa moja
 
Eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…