Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kula mkuu ipo cku utatupa mrejesho mpyaSasa mkuu, kwan faida inakata kwa kutumia tu elf 5 ya kula kwa siku!!? Kwan hao wanoiona faida huwa wanaiona kabla hawajakata ya kula? Kula lazima aisee
sasa ndio biashara hio unayoitegemea kuendeshea maisha yako ...sio kwamba utumie mtaji bali kafaida unayopata ikusaidie sasa utafanyaje yan ukipata faida usile usivae ukiumwa usiende hospitali, usinunue mboga ya kupika, usinunue sabuni ya kuogea, yatakua maisha gani sasa hayo yani unajidhoofisha kisa biashara iende vizuri...healthy life is everythingUkiwa mfanyabiashara lazima ujue hela ya biashara ni ya biashara tuu,.kama unatumia hela ya biashara kula,kuvaa,vocha,sijui usafiri n.k huwezi kuiona faida ya hiyo biashara,..lazima uwe serious kidogo na kitu unachokifanya.
safiafate huu ushauri,mimi pia yalinkuta mtaji wa laki 8 naondoka na jero faida kwa sikunikatumia njia iyo ikansaidia maana vijana wezi sana wanauza wanasema hawauzi,hata tray za mayai zinaisha wanakuambia hatujauza mayai yalienda wapi sijui,nikatimua nikaweka wingine kwa makubaliano hayo na tukafikia lengo na soda maji wakawa wananiuzia
Sidhani yy kama amezungumzia kutumia faida,.kasema "anachomoa kwa ajili ya kula" n.k...sasa hela yaku run business ukiichomoa chomoa faida utaionaje???lazima faida itakuja tofauti na vile ulivyotegemea,.lazima iwepo plan ya kuendesha biashara na ifuatiliwe.sasa ndio biashara hio unayoitegemea kuendeshea maisha yako ...sio kwamba utumie mtaji bali kafaida unayopata ikusaidie sasa utafanyaje yan ukipata faida usile usivae ukiumwa usiende hospitali, usinunue mboga ya kupika, usinunue sabuni ya kuogea, yatakua maisha gani sasa hayo yani unajidhoofisha kisa biashara iende vizuri...healthy life is everything
Mwanzo mgumu sana, baadae wateja watazoea na biashara itachangamka na kupata hela nzuri tu, kuwa mvumilivuMkuu, mtaji ni 1 Mil. Hyo ni aggregate ikijumuisha kodi ya frame na vitendea kazi ila nimeanza na viazi nusu gunia la 50, 000/- ili kucheck upepo. Tatizo ndo hapo sasa hicho kigunia kinachukua 6 days kuisha
Aise! Hii yako ni point ya kuizingatia sana. Kijana wangu kasukuma siku6 kumaliza kigunia cha ndoo 4 na kishtobe, mweh!
Nadhan ndo tatizo lilipo, mzunguko mdogo
Kasema kwa week.Elfu kumi faida kwa siku ni kidogo? Acha tamaa kijana
Labda unipe ushauri boss, me natumia elfu 5 kwa chakula tu na si mambo mengine. Kama unashinda hapo 'golini' mpaka night, issue ya msos unasolve vp ingekuwa wewe?Endelea kula mkuu ipo cku utatupa mrejesho mpya
Sidhani yy kama amezungumzia kutumia faida,.kasema "anachomoa kwa ajili ya kula" n.k...sasa hela yaku run business ukiichomoa chomoa faida utaionaje???lazima faida itakuja tofauti na vile ulivyotegemea,.lazima iwepo plan ya kuendesha biashara na ifuatiliwe.
Fanya hivi tafuta kiroba chenu cha unga hapo ikifika mida ya msosi mna jipikia ugari wenu mna piga msosi kwa kiroba cha kilo tano naimani kita wasukuma sana na bajeti baada yako ya siku baada ya kuwa 5000 ita anza soma 2000 tu..Labda unipe ushauri boss, me natumia elfu 5 kwa chakula tu na si mambo mengine. Kama unashinda hapo 'golini' mpaka night, issue ya msos unasolve vp ingekuwa wewe?
Me nlivyokuelewa ni kwamba, nkae njaa ndo ntaiona faida
Mkuu mimi nimekuelewa ,hiyo biashara sio kwamba haina faida ila faida unakula maana kama una kula kwa siku 5000 inamana kwa siku hizo 6 inamana ni 30000 alfu unakula ukijumlisha na hiyo 10000 inamana faida yako 40000 ,Natumia sehem ya faida (si mtaji) kula/msos na ndo baada ya kuendesha hiyo biashara kwa siku 6 najikuta sina faida mkonon zaidi ya mtaji. So me shauku yangu kubwa ni kufaham nakosea wapi mpaka nashindwa kupata zaid ya ile ya msos?
Shukrani sana, nitaufanyia kazi ushauri huu piaFanya hivi tafuta kiroba chenu cha unga hapo ikifika mida ya msosi mna jipikia ugari wenu mna piga msosi kwa kiroba cha kilo tano naimani kita wasukuma sana na bajeti baada yako ya siku baada ya kuwa 5000 ita anza soma 2000 tu..
Asante sana mkuu kwa udadavuzi wako. Hakika nmepata la msingiMkuu mimi nimekuelewa ,hiyo biashara sio kwamba haina faida ila faida unakula maana kama una kula kwa siku 5000 inamana kwa siku hizo 6 inamana ni 30000 alfu unakula ukijumlisha na hiyo 10000 inamana faida yako 40000 ,
sasa cha msingi cha kukushauri ili uwendelee kupata hela ya kula na yakuweka iongezeke ,kuza mtaji kwa kuongeza na vitu vingine mfano mishikaki kuku samaki na makorombwezo mengine faida itaongezeka maana unavyanzo vingi vya kupatia
Biashara ya kiepe ina faida pamoja na changamoto zake mm kwenye goli rangu naenda chukua salio rangu tu kila jioni lakini kijana niliye muweka golini nae ame ajri mtu mwingine wa kumsaidia kazi wana lipanaje mm sijui cha muhimu kwenye hela yangu na yeye tuliyo kubaliana haitingishwi.. Komaa ndugu na mtangulize Mungu mbele hakuna biashara rahisi hata mojaAsante sana mkuu kwa udadavuzi wako. Hakika nmepata la msingi
Aisee, poa poa boss wanguBiashara ya kiepe ina faida pamoja na changamoto zake mm kwenye goli rangu naenda chukua salio rangu tu kila jioni lakini kijana niliye muweka golini nae ame ajri mtu mwingine wa kumsaidia kazi wana lipanaje mm sijui cha muhimu kwenye hela yangu na yeye tuliyo kubaliana haitingishwi.. Komaa ndugu na mtangulize Mungu mbele hakuna biashara rahisi hata moja
duuuuuu. Hesabu ndefu kidogo kiongozi wangu1Mil mkuu. Inajumuisha na pango ya space ya biashara