Kiev: Makombora ya Urusi yalivyowateketeza mamia ya maafisa wa NATO na Marekani

Kiev: Makombora ya Urusi yalivyowateketeza mamia ya maafisa wa NATO na Marekani

Ni upumbavu Kwa Marekani na ushirika wake kutumia visilaha vidogo wakati Russia anapeleka moto mkali..

Kwa.ujinga wao acha wanyoshwe maana wanaogopa kusema bwai na iwe mbwai.
Kwani wamarekani wanapigana wapi bwashee, habari Iran ndo zinakumiza kichwa na wewe, Ukraine wamesimama wameamua kumkamua super power kamasi
 
Haya madai ni uongo jana baada ya Ukraine kutangaza kuwauwa mamia ya Wagner Gropu na wao ndio waliona wajipoze kwa kuleta uongo kama huu.

otherwise ungejiuliza vipi kuhusu Russia kutawala eneo la Bakhmut limeishia wapi? mbona wako kimya na walitangaza kila kitu kiko mikononi mwao.
Mkuu hata kusoma hujui? Hivi tunaposema Urusi anapambana na NATO huwa si mnabisha?
 
Haya madai ni uongo jana baada ya Ukraine kutangaza kuwauwa mamia ya Wagner Gropu na wao ndio waliona wajipoze kwa kuleta uongo kama huu.

otherwise ungejiuliza vipi kuhusu Russia kutawala eneo la Bakhmut limeishia wapi? mbona wako kimya na walitangaza kila kitu kiko mikononi mwao.

Bakhmut pale wamekutana na kigingi pale Russia amejua kuna wanaume, miez 7 sasa wanatwangana tuu na hana matokei mm nafkor angekubali tuu yaishe
 
Maafisa wakuu wa marekani unamanisha USA au? Kimsboy bwana unachekesha hii habari nimeiona kwenye Iran media pars today bwashee
Mayatolah takbiirrr, ingekuwa rahisi hivyo Urusi wangekuwa Kyiv saizi
Kakwambia nani kwamba Urusi ilikiwa na mpango wa kuiteka na kuikalia Kyiv?? Shida ya Urusi ilikuwa ni kuwakomboa minority wa Waukraine wenye asili ya Urusi wanao ishi kisini mashariki mwa Ukraine - hivi sasa wamekwisha jiunga rasmi na Russian Federation which means lengo lao limetimia kwa kiasi kikubwa - ukahidi na ujeuri wa Zelensky anao upata kitoka kwa Biden ndio utalifanya Taifa na raia wa Ukraine wapate madhara zaidi, lakini hata siku moja Ukraine haitaweza kushinda vita hii.
 
Mimi hakuna mahala humu Jf nimemshabikia Putin ila nilitaka kujua tu usahihi wa hii taarifa maana wewe umejikita na habari hizi sasa nashangaa unakuja na maneno ya khanga .

Hamna nyote mumeshikiliwa akili kwa kuaminishwa kuwa kushabikia udhulumaji anaofanya Putin kwamba mnaikomoa Marekani, yale maneno yenu ya death to America takbirr, hata hivyo Putin wenu huyo ameangukia pua hehehe
 
Maafisa wakuu wa marekani unamanisha USA au? Kimsboy bwana unachekesha hii habari nimeiona kwenye Iran media pars today bwashee
Mayatolah takbiirrr, ingekuwa rahisi hivyo Urusi wangekuwa Kyiv saizi
Unajua hii issue anavyoichukulia Putin tofauti nawewe unavyoichukulia!

Waziri mkuu wa zamani wa Israel Naftali Benett kabla Putin hajaanza SMO Ukraine alijaribu kuongea na pande zote mbili ili wasifikie huku lakini upande wa West walidharau na hawakuta kumsikiliza Putin juu ya madai yake hivo ilipelkea SMO kuanza, na kama haitoshi Bellet alihakikishiwa na Putin kuwa hana nia ya kumuua Zelesky.

Kwaiyo usije hisi Russia anashindwa kuingamiza Ukraine ila huruma yake tu! Na ndiyo maana Zelesky mwenyewe alishawah kutoa wito kwa washirika wake kuwa ikitokea Russia akaipiga Ikulu ya Ukraine bas anaomba NATO waishambulie Russia.
Screenshot_2023-03-14-09-51-09-54_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Unajua hii issue anavyoichukulia Putin tofauti nawewe unavyoichukulia!

Waziri mkuu wa zamani wa Israel Naftali Benett kabla Putin hajaanza SMO Ukraine alijaribu kuongea na pande zote mbili ili wasifikie huku lakini upande wa West walidharau na hawakuta kumsikiliza Putin juu ya madai yake hivo ilipelkea SMO kuanza, na kama haitoshi Bellet alihakikishiwa na Putin kuwa hana nia ya kumuua Zelesky.

Kwaiyo usije hisi Russia anashindwa kuingamiza Ukraine ila huruma yake tu! Na ndiyo maana Zelesky mwenyewe alishawah kutoa wito kwa washirika wake kuwa ikitokea Russia akaipiga Ikulu ya Ukraine bas anaomba NATO waishambulie Russia.View attachment 2550172
Ni huruma yake tu? Huruma gani inayopelekea yeye kupoteza maelfu ya askari na majenerali lukuki?
 
Back
Top Bottom