Kiev: Makombora ya Urusi yalivyowateketeza mamia ya maafisa wa NATO na Marekani

Kiev: Makombora ya Urusi yalivyowateketeza mamia ya maafisa wa NATO na Marekani

Ni huruma yake tu? Huruma gani inayopelekea yeye kupoteza maelfu ya askari na majenerali lukuki?
Screenshot_2023-03-14-10-11-32-33_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Hakuna sehemu Wanajeshi wa Marekani walikufa afu Marekani ikawa kimya, haipo haipo
 
Hi habar Ni kweli,
Ingekua Ni habar za uongo
Ukraine na zelensky wangeshajitokeza hadharani kukanusha habari hizi

Hiki kimya tangu tar 9 ni ishara ya kuchutama, wamepigwa kwny mshono
Wametatuliwa marinda haswa,🤣🤣🤣 siskii kelele za kifurushi kingine tena naona wamepoteana maana organizing team ya mashambulizi wamepewa vyeo vya marehemu fasta 😀
 
Haya madai ni uongo jana baada ya Ukraine kutangaza kuwauwa mamia ya Wagner Gropu na wao ndio waliona wajipoze kwa kuleta uongo kama huu.

otherwise ungejiuliza vipi kuhusu Russia kutawala eneo la Bakhmut limeishia wapi? mbona wako kimya na walitangaza kila kitu kiko mikononi mwao.
Wao Ukraine ndio wanajipooza kusingizia wagner group wameuawa ili kufunika aibu. Msemaji wa jeshi la marekani mwenyewe amekiri kuwa Russia amewasuuza na kombora lake la khinzal.
 
Hamna nyote mumeshikiliwa akili kwa kuaminishwa kuwa kushabikia udhulumaji anaofanya Putin kwamba mnaikomoa Marekani, yale maneno yenu ya death to America takbirr, hata hivyo Putin wenu huyo ameangukia pua hehehe
Ila mkuu tuache utani kwanini Ukraine walikua wanatesa watu wenye asili ya urusi? Kwanini waliamua kupiga ban lugha ya urusi? Hivi leo nchi za west africa zikiamua kupiga ban french unadhani Ufaransa atakaa kimya kweli?
 
MAOFISA WA NATO NA MAREKANI WAUAWA NA URUSI MJINI KIEV NCHINI UKRAINE

Mashambulizi ya ndege za anga za Urusi yaliyofanywa tarehe 09/03/2023 yaliweza kuvunja mahandaki mjini Kiev kwa makombora mapya. Katika uvunjwaji wa mahandaki hayo, kulikuwa na maofisa wakuu wa Marekani pamoja na maofisa wa NATO ambapo maofisa hao wameuliwa.

Hii ni kwa mara ya kwanza maofisa wa ngazi za juu kutoka Marekani na NATO kuawa nchini Ukraine.

========

Alexander Sitnikov

Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Zaluzhny, in hot pursuit, announced the data on the night (from March 8 to 9) strike. According to him, 81 missiles were fired at Ukrainian targets by the Russian side, including Kh-47 Kinzhal, X-22, Kh-101 / Kh-555, as well as 8 Geran UAVs. He also boasted that allegedly independent anti-aircraft gunners shot down 34, and 8 “did not reach their goals as a result of organized opposition.”

Ukro-pravdoruby Zaluzhny do not believe. They believe that the independent air defense was able to chalk up only “dummy” and “Gerani” missiles. For obvious reasons, neither Zaluzhny nor Zelensky will provide details. But, judging by the mood in ukrnet, real despondency reigns on Bankovaya.

Later, the speaker of the Potryanyh Forces of Ukraine , Ignat, spoke . In particular, he said: “This was the first time – at night 6 Kinzhal missiles were fired at Ukraine.

Zelensky was forced to admit: “A hard night.” The audience noted that the President’s coming out looked like a beaten dog, and there were no words about interceptions in his speech.READ ALSO

According to rumors that are circulating on the Ukrnet, on March 9, a large delegation of the Ukro-General Staff visited the American embassy in Kyiv. It seems that the transfer of lists of star-striped “200th” took place.

In addition, it became known about hits on the Iris-r and Nasams air defense systems, which were worked out on dummy missiles and were destroyed by the Xs flying behind. What is indicative: those Ukrainian Internet resources that reported this were blocked by the independent Mintsifra. As many as 25 publics immediately fell under the distribution, which indirectly indicates hysteria in the Kyiv junta.

“Based on the mass use of the Kinzhal missiles, it can be assumed that Russia has established mass production of these missiles and they have no problems with components,” the coming out blogger @legitimniy concluded.

The head of the Ministry of Energy of Ukraine Herman Galushchenko was forced to admit that the missile attack damaged at least three thermal power plants. It must be assumed that he lied in the smaller direction.

Another well-known blogger in Nenko called for the official damage data to be multiplied by three. According to him, “loud” was in 12 regions and everywhere with serious destruction. Until now, a strong fire continues at CHPP-5 in Kyiv. The arrival took place in the turbine hall, so we are not talking about a quick restoration of generation.

Public “Kharkiv” told about at least fifteen explosions and attacks on CHP-3 and CHP-5. Whether they are damaged is still unknown, but local residents wrote about power and water outages. Separately, the assumption is voiced that the secret barracks of the Armed Forces of Ukraine were destroyed, since the SBU began “filtration” measures.

“In the Zaporozhye region, 5 missiles immediately hit a critical infrastructure facility,” the Ukrayinska Pravda newspaper reported, citing officials from the regional administration.READ ALSO

Residents of Pavlograd, Krivoy Rog and Dnipropetrovsk districts of ex-Dnepropetrovsk are sure that “Substation Yuzhnaya is everything! Destroyed, ”although it was covered by foreign-made air defense systems. “Loud” was at the Krivorozhskaya TPP, but the territory is cordoned off, so there is extremely little information. Typically, such measures of “secrecy” are correlated with the level of damage. The larger it is, the more secretive the power is coming out.

In the Volyn region, the residents heard the strongest explosions in Lutsk and Kivertsy. The blow was so powerful that the ceiling fell down in a number of houses. According to preliminary data, the Lutsk-Severnaya substation and the military airfield were damaged.

“Odessa fraer” informed about the next destruction of energy facilities in the region. Most likely, the Adzhalyk substation was smashed into the trash. In Odessa, new, more stringent schedules for stabilization shutdowns of local power grids from DTEK have already been published. However, the previous ones were not respected.

Thus, the RF Armed Forces continued to “turn off” the switch to Ukraine, and with the use of more powerful Kinzhal missiles. For Bandera and their star-striped puppeteers, it finally began to dawn that there was no longer any place in Nenko where one could hide. If, for example, the Kremlin considers that it is time to “twist” Zelensky, then it will be so.

theinteldrop.org
Tatizo lako ukivaa kobazi bovu lukachomoka liliposhonewa wakati unakaa ili kurudishia ndiyo unapochomoa simu na kuandika chochote unachotamani kiwe ila unakiandika kama vile kimetokea
 
Hamna nyote mumeshikiliwa akili kwa kuaminishwa kuwa kushabikia udhulumaji anaofanya Putin kwamba mnaikomoa Marekani, yale maneno yenu ya death to America takbirr, hata hivyo Putin wenu huyo ameangukia pua hehehe
Mbona unanipakazia wakati mimi ni Shabiki wa USA anatetea demokurasia na kupinga udikteta ?
 
[emoji298]️“The managers of the banks will be fired, Biden noted, and investors will lose money.”

'They knowingly took a risk, and when the risk didn't pay off his adjusters lose their money. That's how capitalism works,' Biden said
 
Hi habar Ni kweli,
Ingekua Ni habar za uongo
Ukraine na zelensky wangeshajitokeza hadharani kukanusha habari hizi

Hiki kimya tangu tar 9 ni ishara ya kuchutama, wamepigwa kwny mshono
Mkuu wakati mwingine tujaribu kuwa wadadisi kidogo, ndani ya habari iliyoandikwa kwa kingereza hakuna sehemu ata moja inayotaja neno NETO au USA sasa unasangaa mtoa Mada ameinukuu kutokea wapi au ni zile habari za kutuliza hasira.
 
Ila mkuu tuache utani kwanini Ukraine walikua wanatesa watu wenye asili ya urusi? Kwanini waliamua kupiga ban lugha ya urusi? Hivi leo nchi za west africa zikiamua kupiga ban french unadhani Ufaransa atakaa kimya kweli?

Hizi ni ngonjera mnazotumia kutetea udhulumaji wa Putin, mlianza kusema Ukraine ina mashoga, mara lugha ya Urusi inafutwa, mara inajiunga NATO, sasa Urusi imekwama haijui inatokaje kwenye huu ugomvi.
 
Back
Top Bottom