Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apia niingie kaziniKama mimi nahisi nimekua hacked, details zangu zimeibiwa… sijui nianzie wapi... 😳
Kweli mkuu, script kiddies ndio wamejaa bongo kazi kusumbua watu Facebook na insta hakuna lolote wababaishaji tu.Hapa Tz hakuna hackers wa maana
Wapo, Hackers huwezi kuwaona na wala hawajitangazi.Kweli mkuu, script kiddies ndio wamejaa bongo kazi kusumbua watu Facebook na insta hakuna lolote wababaishaji tu.
Wapo, Hackers huwezi kuwaona na wala hawajitangazi.
Hawana marafiki
Rafiki yao mkubwa ni PC
Wanalala kwenye internet na wanaamkia huko pia.
Nenda huko deep web utawaona wengi..
Pia wako Expensive kama ukitaka kuwaajiri... Hawana njaa
Achana na hawa wanaojitangaza.
Good job VersPaula Paul sijui kama ushawahi kusoma hiki kitu.. tulimzungumzia V
Kwa hiyo mada yoooote ulicho fanikiwa kukidaka ni hiki tu?uingeleza,ni uingereza