Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Our main motive is freedom on the internet. We want every citizen of the world to have equal rights to speak. If you want any kind of help related to cyber securities or any other topic, visit anonymous contact us page. If your request accepted one of our representatives will contact you very soon. Or you can drop us the mail at annymoushackers.net@gmail.com.Kwanza fahamu kikundi hiki hakina makao makuu na hawatambuani wote labda hua wanakutana kimya kimya kama member wa JF kwa njia wanazojua wao, hawana vitambulisho kitu kitakacho kufahamisha kua wewe ni member ni kuvaa ile mask yenye sura ya Guy Fawkes inayofahamika kama Anonymous hackers mask. So kama unahitaji kujiunga wewe agiza online hiyo mask kisha chagua kitu unachotaka kufanya sehemu ulipo kwenye upande wa udukuzi elimu inayohitajika uwe unajua Computer Programing. Popote ulipo unaweza kua member ila huwezi kukuta kwamba wanauongozi au mikutano.
www.anonymoushackers.net
Ahsante sana mkuu kwa kuongeza nyama.. Hivi unadhani kweli hawa jamaa hawafahamiani? Hua hawapangi plan za kuataki huko huko mitandaoniOur main motive is freedom on the internet. We want every citizen of the world to have equal rights to speak. If you want any kind of help related to cyber securities or any other topic, visit anonymous contact us page. If your request accepted one of our representatives will contact you very soon. Or you can drop us the mail at annymoushackers.net@gmail.com.
Expect us.
![]()
Anonymous History | Who Started Anonymous Group
Do you want to know the history of the anonymous group? Okay, Read this article it will tell you more about the anonymous group history.www.anonymoushackers.net
NB: Mualiko sio kwa kila mtu, wengine watabaki mashabiki tu!. US DoD yenyewe imewanyooshea mikono hawa wahuni!.
A history of anonymous | Infosec
Anonymous is the most famous 'hacktivist' group in the world. The informal nature of the group makes its mechanics difficult to define. Subsequently, withoutresources.infosecinstitute.com
wanafahamiana kupitia Dark Web!.. Hauwezi dondosha US Department of Treasurey ukitokea ghetto kamwe!!!...Ahsante sana mkuu kwa kuongeza nyama.. Hivi unadhani kweli hawa jamaa hawafahamiani? Hua hawapangi plan za kuataki huko huko mitandaoni
Unaweza Sema Ni kikundi kumbe Ni mtu mmoja tu ndio anaanzisha yote hayo.Ahsante sana mkuu kwa kuongeza nyama.. Hivi unadhani kweli hawa jamaa hawafahamiani? Hua hawapangi plan za kuataki huko huko mitandaoni
Nmefika... Nltingwa na kaziCc.
Astelia bbade snowhite Blaki Womani Kudo Ambiele Kiviele Wick lifecoded undertwentyboy Use brain Heriel Iyegu nana jolie Shunie Mshana Jr zitto junior Malcom Lumumba The MaskmaN theriogenology financial services
@Nanaa jolie Iyegu hearly impongo Mchawi Mkuu Malcom Lumumba Elungata Da'Vinci Mshana Jr Palantir Eiyer Kudo900 Vi rendra N J subi Bujibuji Kipanga boy Kiranga Ziroseventytwo Che mittoga Ip man 3 mitale na midimu Mzee wa Torano Blaki Womani Grahnman za chembe jimmykb197 911sep11 afsa Francis3 mtu chake NJOLO Msolo Shubiri Pori Pendael24 Mr Miller Elli Khalifavinnie Kennedy Son of Gamba Kanungila Karim Mgambilwa ni mntu Mr FCB Mr Q geesten66 Jerry Ekky Mnabuduhe Chrisvern katib mkoa
Naren Son of Gamba Charaxes GuDume DON Crelicuzio Humble African Bitoz Mzigua90 Raynavero baba swalehe Chiwaso
Blaki Womani
Mada nzuri sana na mm natamani niwe anonymous kuanzia leo mkuu... Umeni inspireMuendelezo tayari daktari wetu
Ndipo niliko hivi sasa mkuuAnonymous usitokee Tz.. labda uwe mbele huko
Norway kwa sasaUpo sehemu gani kiongozi. . . ?
Hackers wapo wa kutosha tu, sema kwa taratibu zetu mambo yanaisha kiujambazi zaidi. Hatuna utaratibu wa kutangaza tukipata tatizo, tunawatafuta kimyakimya ili tumalizane nao kimyakimya!.Hapa Tz hakuna hackers wa maana
Praise only GodNo don't do this.. nazungumzia serikali zote za Africa
Hivi hakuna hackers wa kibongo wanaovamia serikali au mifumo ya benki?Hackers wapo wa kutosha tu, sema kwa taratibu zetu mambo yanaisha kiujambazi zaidi. Hatuna utaratibu wa kutangaza tukipata tatizo, tunawatafuta kimyakimya ili tumalizane nao kimyakimya!.
Unakumbuka Membe alisema kuna dogo alikuwa anajikatia tiketi za ndege, unadhani alikuwa US yule!?. Halafu hackers wengi wapo vyuoni, wanaangusha sana website za vyuo kuvuruga matokeo!.