realpatriot
Senior Member
- May 28, 2009
- 116
- 76
Maelezo mazuri asante! Issue ni je soko liko wapi? Wengi wamekichukia kilimo kwa sababu hizo! Anaambiwa zao fulani zuri, lina pesa & demand kubwa analima! End of the day hajui solo liko wapi anaishia kukata mtaji wake!
Nimependa sana uzi wako nami nataka unipe mbinu za kulima haya maua ya maligold pls au nipe dondoo kidogo na mbegu nazipata wapi na udongo gani unaofaa na hali ya hewa gani inayofaa kulima kilimo hichi mm niko darZile kampuni za mbegu zinasumbua sana hasa kama huja meet vigezo vyao.
Hii Margold unavuna maua pekee na si mbegu na unayakausha then unayasaga kwenye mashine
Mkuu mbegu bado unayo?Niliyalima mpaka sasa sijalipwa wala siyatamani
Tena sitaki mtu anishawishi mana nilishawishika nikapoteza hela zangu
Nimekaa Arusha miaka mingi kikazi na eneo la Arumeru kina ma Lab hall makubwa ambayo ni mashamba makubwa ya maua.Cha ajabu maua Karibu yote yanasafirishwa kupitia kiwanja cha ndege cha Kenya Jomo Kenyatta wakati tuna kiwanja kizuri tu pale Kilimanjaro cha KIA
Tatizo ni nini KIA haitumiki kusafirisha maua kwenda Ulaya kutoka mashamba ya Arusha?
Au kuna watu wana maslahi na usafirishaji hayo maua huko Kenya?
Hivi Boing 777 inauwezo wa kutua hapo KIA?? Magufuli badala ya kupanua uwanja wa KIA ili kuendana na ushindani wa kibiashara.. Yeye kaenda kutengeneza uwanja Chato..... Wacha wakenya watupige za uso
Sina uhakika sana, ila nijuacho ni kwamba mashamba mengi yanamilikiwa na wakenya na ndio wazalishaji wakubwa wa maua E. Africa kama sio Africa nzima.Nimekaa Arusha miaka mingi kikazi na eneo la Arumeru kina ma Lab hall makubwa ambayo ni mashamba makubwa ya maua.
Cha ajabu maua Karibu yote yanasafirishwa kupitia kiwanja cha ndege cha Kenya Jomo Kenyatta wakati tuna kiwanja kizuri tu pale Kilimanjaro cha KIA
Tatizo ni nini KIA haitumiki kusafirisha maua kwenda Ulaya kutoka mashamba ya Arusha?
Niliwahi kusikia tuna wataalam wachache wa air yaani Air Technicians!! Ilitolewa na Waziri Prof Mbarawa!
Usafirishaji wa maua sio wa leo wala Jana lakini kwanini wataalam wameshindwa kutumia KIA kwani Kuna upungufu gani kiwanjani hapo!?!
Au kuna watu wana maslahi na usafirishaji hayo maua huko Kenya?
ameuliza akitaka kuelewesha sababu hasa ni nini? sidhani kama kulikuwa na sababu ya kutumia lugha kali kiasi hichoAcha ujinga wewe, Jomo Kenyeta International Airport ni ya 100 kwa huduma za ndege duniani. Kila baada ya dk 15 ndege 4 kubwa zinashuka na 4 zinapaa kila siku. Oriva Tambo Johs wenyewe kila baada ya dk 15 ndege 10 zina land 10 zina take off. Uwanja unaongoza kwa shughuli duniani ni Health law International Airport. Kila baada ya dk 15 ndege 50 zinaland 50 zina took off. Sasa ndio unaweza kuufananisha na KIA au? Ikiwa hata DIA wenyewe hauifikii JKIA.
Nilirudi kwenye point yako ya kijinga, KIA ina ndege ya moja kwa moja kwenda Abroad pale, au unajua yale maua yanaenda kuuzwa Kisumu nini? Acheni chuki na wivu wa kitoto, eti ukiongea hivyo basi nani unategemea asikie eti aulize au akataze kupeleka JKIA utakufa maskini ndugu yangu, kama hata vitu vidogo hivyo vinakusumbua.
Nadhani si wengi hao wakenya kwenye mashamba ya maua hapo Arusha ...nimetmbelea hayo mashamba kuna baadhi ya wawekezaji wazungu hapoSina uhakika sana, ila nijuacho ni kwamba mashamba mengi yanamilikiwa na wakenya na ndio wazalishaji wakubwa wa maua E. Africa kama sio Africa nzima.
Baada ya kuvunwa ni lazima yake processed n.a. kuwekwa nembo, so labda ni ngumu kuweka nembo ya made in Kenya wakati mzigo unalimwa, unafungiwa na kusafirishwa toka tz.
Pia imumbukwe issues za kodi, ajira(kwenye packaging nk) wanataka ziendelee kulipwa Kenya as part ya uzalendo kwa nchi yao.
Hapana nakusahihisha.Sina uhakika sana, ila nijuacho ni kwamba mashamba mengi yanamilikiwa na wakenya na ndio wazalishaji wakubwa wa maua E. Africa kama sio Africa nzima.
Baada ya kuvunwa ni lazima yake processed n.a. kuwekwa nembo, so labda ni ngumu kuweka nembo ya made in Kenya wakati mzigo unalimwa, unafungiwa na kusafirishwa toka tz.
Pia imumbukwe issues za kodi, ajira(kwenye packaging nk) wanataka ziendelee kulipwa Kenya as part ya uzalendo kwa nchi yao.
Sina uhakika sana, ila nijuacho ni kwamba mashamba mengi yanamilikiwa na wakenya na ndio wazalishaji wakubwa wa maua E. Africa kama sio Africa nzima.