Kifahamu kilimo cha maua

Kifahamu kilimo cha maua

Nimekaa Arusha miaka mingi kikazi na eneo la Arumeru kina ma Lab hall makubwa ambayo ni mashamba makubwa ya maua.

Cha ajabu maua Karibu yote yanasafirishwa kupitia kiwanja cha ndege cha Kenya Jomo Kenyatta wakati tuna kiwanja kizuri tu pale Kilimanjaro cha KIA

Tatizo ni nini KIA haitumiki kusafirisha maua kwenda Ulaya kutoka mashamba ya Arusha?

Niliwahi kusikia tuna wataalam wachache wa air yaani Air Technicians!! Ilitolewa na Waziri Prof Mbarawa!

Usafirishaji wa maua sio wa leo wala Jana lakini kwanini wataalam wameshindwa kutumia KIA kwani Kuna upungufu gani kiwanjani hapo!?!

Au kuna watu wana maslahi na usafirishaji hayo maua huko Kenya?
KIA hakuna cold storage facilities
 
Ndugu mleta Uzi kwanza nataka nikufahamishe Kia in uwanja pekee Africa kama siyo duniani was ndege ambao unamilikiwa na mwekezaji ambaye in Kadco na Hugo mwekezaji amekuwa akicharge landing fee kubwa kuliko hata Jkia hivyo ndege nyingi zina land Nairobi kukwepa excessive charges.pili hayo maua unayosema hayawezi kujaza hata nusu ya ndege ya mizigo hivyo inaitajika mizigo ya kujaza ndege.na mwisho Kia hakuna facility za Ku hold maua kama cold room ambayo inaweza kukeep maua freshly . Natumaini umenielewa

AN
au na hapo tumwite raisi aingilie kati alafu tudaiwe fidia

Anataka aseme kuanzia sasa maua yatasafirishwa kwa ndege mpya
 
tatizo hapa lipo na jibu lake hata wewe mtoa hoja unalo,serikali yetu bado ipo nyuma mno katika kutengeneza mazingira ya kuwafanya raia wake wawe na uwezo wa kufikia malengo yao ya kujiendeleza,tembelea pale KIA na sio rocket science angalia huduma zao ,na chunguza hilo suala la maua je wana mazingira yanayoruhusu biashara hiyo kufanyika,mfano je wana fridges zinazokidhi utunzaji wa maua,je fumigation yao ipo vipi?customs inasaidia na kushauri wafanya biashara hiyo ya maua,ukipata majibu then utaelewa why maua ya Arusha yanapelekwa kwanza Kenya,au why machungwa ya Muheza yanavushwa Kenya kwanza kabla ya kupelekwa Dubai;masuala ya uchumi wa nchi ikiingiza siasa za uchwara matokeo yake tutayaona muda sio mrefu.
Tutampeleka Kabudi
 
KIA route ni chache tofauti na Nairobi kwenda Europe navyodhania
 
Ndugu mleta Uzi kwanza nataka nikufahamishe Kia in uwanja pekee Africa kama siyo duniani was ndege ambao unamilikiwa na mwekezaji ambaye in Kadco na Hugo mwekezaji amekuwa akicharge landing fee kubwa kuliko hata Jkia hivyo ndege nyingi zina land Nairobi kukwepa excessive charges.pili hayo maua unayosema hayawezi kujaza hata nusu ya ndege ya mizigo hivyo inaitajika mizigo ya kujaza ndege.na mwisho Kia hakuna facility za Ku hold maua kama cold room ambayo inaweza kukeep maua freshly . Natumaini umenielewa
Kwani izo Cold Room {[emoji300]} ni bei ngapi mpaka KIA washindwe kuwa nazo
 
Tupo nyuma kwa kila kitu, but why. Our foundation of our nation was not right. A nation without a good foundation meaning good Katiba ya nchi which brings good governance siku zote nchi itayumba. Unfortunately I don't know when we are going to come out of this mess that were created by our past leaders. I just feel sorry for our children because they will end up being refugees in future if now as a nation we can not sit down and try to find the way out of this situation. CCM must re evaluate itself because can not escape our blame for making our country like this.
 
HIlo ndilo ambalo Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) chini ya Bwana Hamza Johari wanakutana sasa kujadili

Wadau wa usafiri wa anga watakutana kwa siku mbili mjini hapa kujadili mambo mbalimbali, ikiwemo namna ya kuufanya Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) kuwa njia panda ya usafiri wa anga.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari amesema leo Jumatatu kuwa, mada tisa zitajadiliwa miongoni mwa hizo zikiwa ni kupungua kwa shehena ya mizigo katika sekta hiyo, udhibiti wa matumizi ya ndege zisizo na rubani na ukaguzi wa viwango vya kimataifa.

TCAA kwa kushirikiana na wadau wa usafiri wa anga wameandaa kongamano la siku mbili kuanzia kesho kujadili namna ya kuiinua na kuiboresha sekta hiyo.

Kongamano hilo lenye kauli mbiu ‘Kupeleka juu sekta ya usafiri wa anga’ litafanyika mjini hapa na litazinduliwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa.

"Kongamano hili litatusaidia kujua wapi tunakosea na kuibua mpango mkakati wa namna ya kusahihisha makosa hayo. Ili nchi iweze kufikia lengo la kuwa na uchumi wa kati ni lazima kila sekta ifanye mambo muhimu," amesema Johari.

Amesema wadau wa sekta watazungumza na wao watajitathmini kila mmoja kwa nafasi yake na baadaye watachukua hatua itakayowafikisha mahali wanapotarajia kufika.

"Kwa mujibu wa Shirika Usafiri wa Anga la Kimataifa (ICAO), katika ukaguzi na udhibiti wa viwanja vya ndege tumepiga hatua kutoka asilimia 37.8 mwaka 2013 hadi asilimia 64.4 mwaka huu na tunapaswa kuendelee juu zaidi," amesema Johari.
OK nadhani watakuja na mpango mikakati mzuri
 
Hivi Boing 777 inauwezo wa kutua hapo KIA?? Magufuli badala ya kupanua uwanja wa KIA ili kuendana na ushindani wa kibiashara.. Yeye kaenda kutengeneza uwanja Chato..... Wacha wakenya watupige za uso MK254

Cc barafu
KIA ina uwezo wa ku accomodate B777 na zaidi....
 
KLM hizo ni ndege za Nederland's au Uholanzi. Zikitoka JKIA zinatua moja kwa moja Ulaya, haziitaji tena connection. Lakini ikija KIA inaweza ikarudi tena JNIA, lakini lazima iende Johs au Nairobi kufanya connection ndio iondoke moja kwa moja.
KLM...Amsterdam-KIA-JNIA- Amsterdam..
SWISS....JKIA-JNIA-ZURICH...
 
"ma lab hall" , ndo nini?
HUYU HAJUI ZILE ZINAITWA GREEN HOUSES ILA NI MTAALAM KWANI AMEYAITA MAUKUMBI MAABARA. MJANJA SANA SAFII KWANI ANAONA WATU WANQVYOZUILIWA KUINGIA HOVYO NK
 
KIA beaurocracy ni kubwa na airlines zinazotua hapo kwa time yakusafirisha c rafiki Kenya airline's ni nyingi na ni za direct hakuna mtu anataka kufanya biashara kichaa watalii wenyew wanatumia Kenya kuja Tz

Ubinafsi na ujinga wa viongoz wetu ndo chanzo wanajua na kuona KIA geographical ni nzuri kuliko JKNI kiuchumi kwanini wasiiprove standard ya KIA ifanane na Jomokenyata tuwe na direct flights nyingi kama kenya eti anaenda kujenga chato shit flights zitaenda kusafirisha viazi uko bora hata angeifanya mwanza airport ikawa kwenye standard nzuri
 
Acha ujinga wewe, Jomo Kenyeta International Airport ni ya 100 kwa huduma za ndege duniani. Kila baada ya dk 15 ndege 4 kubwa zinashuka na 4 zinapaa kila siku. Oriva Tambo Johs wenyewe kila baada ya dk 15 ndege 10 zina land 10 zina take off. Uwanja unaongoza kwa shughuli duniani ni Health law International Airport. Kila baada ya dk 15 ndege 50 zinaland 50 zina took off. Sasa ndio unaweza kuufananisha na KIA au? Ikiwa hata DIA wenyewe hauifikii JKIA.
Nilirudi kwenye point yako ya kijinga, KIA ina ndege ya moja kwa moja kwenda Abroad pale, au unajua yale maua yanaenda kuuzwa Kisumu nini? Acheni chuki na wivu wa kitoto, eti ukiongea hivyo basi nani unategemea asikie eti aulize au akataze kupeleka JKIA utakufa maskini ndugu yangu, kama hata vitu vidogo hivyo vinakusumbua.
We jamaa health law ndio nini?
 
KIA ina uwezo wa ku accomodate B777 na zaidi....
Nakumbuka mwaka 2009 nilipita pale nikakuta kuna Ethopia Air... Kuna wahudumu wa pale tukawa tunawauliza maswali..... Kuhusiana na uwezo wa huo uwanja kupokea ndege kubwa wakatuambia mwisho wa ndege kubwa kushuka hapo inabeba watu 700, zaidi ya hapo zinashukia dar sijui kama walikuja kuupanua, au ndiyo hizo walizo zitaja hapo juu 777 na airbuss etc....
 
Nakumbuka mwaka 2009 nilipita pale nikakuta kuna Ethopia Air... Kuna wahudumu wa pale tukawa tunawauliza maswali..... Kuhusiana na uwezo wa huo uwanja kupokea ndege kubwa wakatuambia mwisho wa ndege kubwa kushuka hapo inabeba watu 700, zaidi ya hapo zinashukia dar sijui kama walikuja kuupanua, au ndiyo hizo walizo zitaja hapo juu 777 na airbuss etc....
Umepanuliwa...una uwezo wa Kuchukua B747 na Ant 124 na A380..KLM kwa sasa wanaleta B777...nadhani KIA runways ni kubwa kuliko JNIA..
KIA..runways..3600 M, upana 45M,JNIA..3000M upana 46M...
 
..awapanulie uwanja kaskazini wafaidi!!!.we!!acha kabisa hiyo hadithi...labda ungesema apanue wa mwanza....uliza kwanza kwenye viongozi wake anaowateua wangapi wanatoka kaskazini??jibu utalipata... Ukiona kipya kinafanyika huko kaskazini jua ni hitimisho la mipango ya huko nyuma enzi za kina jk....Fanya utafiti utanisoma...

Hivi Boing 777 inauwezo wa kutua hapo KIA?? Magufuli badala ya kupanua uwanja wa KIA ili kuendana na ushindani wa kibiashara.. Yeye kaenda kutengeneza uwanja Chato..... Wacha wakenya watupige za uso MK254

Cc barafu
 
KIA beaurocracy ni kubwa na airlines zinazotua hapo kwa time yakusafirisha c rafiki Kenya airline's ni nyingi na ni za direct hakuna mtu anataka kufanya biashara kichaa watalii wenyew wanatumia Kenya kuja Tz
ubinafsi na ujinga wa viongoz wetu ndo chanzo wanajua na kuona KIA geographical ni nzuri kuliko JKNI kiuchumi kwanini wasiiprove standard ya KIA ifanane na Jomokenyata tuwe na direct flights nyingi kama kenya eti anaenda kujenga chato shit flights zitaenda kusafirisha viazi uko bora hata angeifanya mwanza airport ikawa kwenye standard nzuri
Nakumbuka Kuna ushauri fulani aliwahi kuutoa Mh Mbowe kuhusu uwanja wa KIA.
 
Back
Top Bottom