SOFTWARE kifanye kifaa chako kitumie line za mitandao yote Kwa bei poa

ofisi ipo Kwa maelekezo piga 0712842283
Kwani maelekezo ya ofisi zilipo ni mpaka Nipige simu.Kwann usielekeze hapa moja kwa moja.??Nashindwa kuelewa ugumu wa wewe mwenye ofisi na uliyeleta tangazo hapa ili usaidie watu lakini kuelekeza ofisi mpaka Nipige simu!!
 
mkuu tatizo lako alihusiani na Simu nikisoma comment yako ya mwanzo Una kitu kingine cha tofauti Kwa jinsi nilivyokuelewa ndio maana nikakwambia utucheck Kwenye # hyo
 
Kuna simu MOBISOL wakati TCRA wanazima feki yenyewe haikuzimwa...ila IMEI nilikuwa nikihakiki zinakuja tofauti...

Na hawa MOBISOL ni kampuni kubwa... hivi wanaweza tengeneza simu feki?

Je hii mautundu yake unayaweza mkuu?
 
Nataka kumu-unlock mke wa mtu.. Mnafanya sh. Ngap
 
mkuu tatizo lako alihusiani na Simu nikisoma comment yako ya mwanzo Una kitu kingine cha tofauti Kwa jinsi nilivyokuelewa ndio maana nikakwambia utucheck Kwenye # hyo
Sory,umeninukuu vibaya,Bado sijaweka tatizo la simu yangu ingawa tatizo lipo na ninapokaa sio mbali na magomeni so nataka nifike ofisin kwenu moja kwa moja.
 
Kuna simu MOBISOL wakati TCRA wanazima feki yenyewe haikuzimwa...ila IMEI nilikuwa nikihakiki zinakuja tofauti...

Na hawa MOBISOL ni kampuni kubwa... hivi wanaweza tengeneza simu feki?

Je hii mautundu yake unayaweza mkuu?
fake inawezekana ila hawatengenezi mobisol inakuwa watu wabaya wenye nia ya kuiharibia kampuni jina/kutembelea Nyota za wenzao kingine inawezekana Simu ilikuwa ya wizi ukanunua Kwa MTU aliyeenda kuzibadili pia at a Kwenye kuflash kuna baadh ya mafundi wanatumia bin file kwahyo zinahama na imei namba badala ya kutumia scatters files kuna sababu nyingi..Ila Kwa upande wetu hatudeal na Simu zilizofungiwa utusamehe Kwa hilo na karibu Kwa huduma nyingine.
 
Kama hii naona haijafungiwa iko fresh tu. Ila IMEI ndio nilicheki ikaleta tofauti...

Ebu nikumbushe ule utaratibu wa TCRA nijidhiridhishe tena ndio nikucheki mkuu.....nikiwa na lugha au tatizo sahihi

Sijui IMEI kwenda no 150...ngapi ngapi nimesahau!!
 
15090
 
Back
Top Bottom