Kifesi aamua kuacha kazi kwa Diamond Platinumz

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,878
Reaction score
5,432


Mpiga Picha Maarufu wa Diamond ajulikanae kama Kifesi leo ameamua kuacha kazi rasmi kwa sababu alizozitoa nimewawekea hapo chini...

Leo ikiwa ni siku takatifu na siku ya ibada kwangu ni siku niloamua kufanya maamzi yatayobadili maisha yangu. Nimeamua rasmi kuacha kazi kama mpiga picha wa Diamond na mwajiriwa wa WCB.

Well it is insane to be leaving a stable job u love but that’s the reality for me. Naacha kazi kwa mtu alokuwa zaidi ya Rafiki kwangu, naacha kaz ambayo ni ndoto ya vijana wengi out there but to me. I see miaka yangu 4/5 ya kufanya kazi hapa inatosha nimeamua kufata moyo wangu. Ni uamuzi nilokuwa nao karibu mwaka sasa but kama ilivyo kwa waajiriwa wengi is so hard kufanya maamuzi ya kuacha kazi but IN ORDER TO GROW WE NEED TO MAKE CHANGE.

Naacha kazi to pursue my Dreams in life ikiwamo kujiajiri. Naacha kazi ili nipate muda mwingi wa kuwa flexible nitumie muda wangu mwingi ku-unleash my potential for excellence. Reason ya mwisho na kubwa zaidi kwangu ni Naacha hii kazi ili niwe karibu zaid na Mungu wangu kwa imani yangu kama Mkristo. Nilkuwa nafanya kazi katika lifestyle na mazingira yasiyompendeza Mungu.

Ni swala ambalo limekuwa likinikosesha amani kwa miaka yote. Sawa napata pesa na umaarufu pia but vyote hivyo siyo kitu endapo simpendezi Mungu. In the end we need to choose GOD over everything. Sifa, umaarufu na fahari yote ya Dunia vitanifaidia nini endapo nitaukosa ufalme wa Mungu? Nimeamua ku drop kila kitu i just want to be happy, do my works, live my life and have time with my God. Ukimchagua Mungu hata hivi vingine atakuongezea. Najua kutakuwa na changamoto nyingi, Up and downs but Mungu ataniongoza. He knew me before I was born aliahidi ukimchagua yeye he will open the door atatufanya kuwa kichwa na sio mkia.

Mwisho ningependa kushukuru familia yote ya WCB kwa kuwa nami for all these years. It was great working with you but zaidi nimshukuru Diamond kwa muda wote nilofanya naye kazi since chini mpaka sasa. Nimefanya kazi kwa mapenzi, bidii na uaminifu mkubwa. Kwangu haukuwa boss bali rafiki na nilkuwa rafiki wa kweli kwako. I will always appreciate mchango wako kwenye career yangu. Tusameheane pale tulipowahi koseana, we are just humans tuna mapungufu tunakosea. Hatutakuwa pamoja kikazi but nina imani tutaendelea kuwa marafiki. God bless you uzidi kufika unapopenda kufika.

GOD bless me. God bless my next Hustles. Happy Sabbath Day


Hayo ndo maneno ya Kifesi ingawa kuna tetesi kuwa Diamond Platnumz ndiye aliyemtimua baada ya kujaribu kumshawishi na kumsema vibaya alipoaachana na Zari.
 
for, even the birds have to leave their nests and learn how to fly sometimes. sikumbuki aliye andika hiyo nukuu.

swahili version: hata ndege wakati mwingine huviacha viota vyao na kujifunza kuruka.
kila la heri mtanzani mwenzetu.
 
Atapata shavu nono Kama LA zarii
Sio mbaya kubadilisha mazingira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…