Kifesi aamua kuacha kazi kwa Diamond Platinumz

Kifesi aamua kuacha kazi kwa Diamond Platinumz

[emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka HOD alivyokua busy kuleta updates za Diamond na kuongeza chumvi aliwahi kuapa Diamond hawezi rudi kwa Wema alafu boss wake akamrudia duh nawaza ivi Heaven On Earth nae alikimbilia wapi maana walikua hawakubaliani kabisa.
Na sahivi boss kawa na ukaribu na Wema nahisi HOD kachefukwa sana sijui hata kama huwa anaweza kuwafotoa teh, HOE sijamuona muda muda
 
Back
Top Bottom