George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Hapa ndio pamebeba maana kubwa ya wewe kuondoka WCB Mr Kifesi..!Tusameheane pale tulipowahi koseana, we are just humans tuna mapungufu tunakosea.
Best wishes kijana mwenzangu..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndio pamebeba maana kubwa ya wewe kuondoka WCB Mr Kifesi..!Tusameheane pale tulipowahi koseana, we are just humans tuna mapungufu tunakosea.
Nilivyoona ile post nilishangaa sana Chief..!Ilikuwa ni lazima aondoke huwezi pingana na boss kwa kumshauri hadharani instagram kuwa akili yake imepotea kwa kumwacha mpenzi wake wa zamani eti unamuombea akili imrudie arudi kwa mpenzi
Wanaume wa darisalam ndio wana mawazo hayo ya kiajiriwaAlicho Fanya Kifesi na Maoni ya Watu humu Nimegundua Watanzania Tutachelewa kuendelea kwa sababu moja Kuu watu wanaamini Mafanikio Yapo Kwenye Kuajiriwa! Watu wanaamini Kuacha vitu Vizuriii ni ujinga Kifesi Wewe ni Mwanaume Maamuzi yako Ni ya Kiumee Kuajiriwa ni Ujinga
Sasa siatadumaa?Si kwa majonzi haya! Huyu hajaachia ziwa kwa hiyari! Atakuwa ameachishwa ziwa ihali bado alikuwa na hamu ya kuendelea kunyonya!
Kumbe ndio Id yake jf?Kwanini heaven on desert unadanganya watu umeacha kazi kwa kupenda?
Mkuu unamaanisha jamaa kafukuzwa kazi?Kwanini heaven on desert unadanganya watu umeacha kazi kwa kupenda?
Kazi za sanaa zina ela sana kuliko kazi za maofisini hizi ambazo tunapoteza miaka na miaka kupata degree.hivi kupiga picha nayo ni kazi ya mpaka mtu kujitangaza kuwa karesign?
Ledada cheicheiNafuuu
Kwa nn brazaRest in peace wcb
Hebu tujuze ID yake basiUrudi sasa jf kifesi make ulitukimbia
Alikuwa na hasira balaa.Urudi sasa jf kifesi make ulitukimbia
heaven on desertHebu tujuze ID yake basi