Kifesi aamua kuacha kazi kwa Diamond Platinumz

Alicho Fanya Kifesi na Maoni ya Watu humu Nimegundua Watanzania Tutachelewa kuendelea kwa sababu moja Kuu watu wanaamini Mafanikio Yapo Kwenye Kuajiriwa! Watu wanaamini Kuacha vitu Vizuriii ni ujinga Kifesi Wewe ni Mwanaume Maamuzi yako Ni ya Kiumee Kuajiriwa ni Ujinga
 
"Naacha kazi to pursue my Dreams in life ikiwamo kujiajiri"
Kwa jina na uwezo alikuwa nao kifesi hata mimi ningemshangaa kama angeendelea kubaki kwa diamond ,muacheni kijana ajiajiri yy kwani kathubutu na wenye uthubutu kama wake ni wachache ,inafika kipindi bora ujiajiri mwenyewe na ww utengeneze ajira kwa watu wengine.Lkn sizani kama anatatizo na Diamond.
 
Mmh kumbe WCB wanaishi maisha yasiyo ya kumpendeza Mungu?!!
Hapo upande wa kutompendeza Mungu nahisi atakuwa msabato hivyo basi ina maana alikuwa anafanya kazi hadi siku yake ya kuabudu... Wasabato nao wana misimamo sana
 
Hapo upande wa kutompendeza Mungu nahisi atakuwa msabato hivyo basi ina maana alikuwa anafanya kazi hadi siku yake ya kuabudu... Wasabato nao wana misimamo sana
Wasabato wanamisimamo ya ajabu,yaani hawa chuoni test ikiwekwa jumamosi hayo makelele yake mpaka test inapangiwa siku nyingine na ndio maana si shangai ,ila kwakua ameamua kujiajiri ni swala zuri.
 
mbona Laizer sio mtz hilo huzungumzii

watu wengine ni watu wa hovyo hovyo sana
Ni mtanzania laizer,napafahamu hadi kwao,na mzee wake namfahamu,kwao ni kigoma,,mkuu acha upotoshaji,,laizer nimesoma hadi na mdogo wake
 
Wasabato wanamisimamo ya ajabu,yaani hawa chuoni test ikiwekwa jumamosi hayo makelele yake mpaka test inapangiwa siku nyingine na ndio maana si shangai ,ila kwakua ameamua kujiajiri ni swala zuri.
Ni hatari sana wale watu.... Kwahiyo kama atajiajiri itakuwa vizuri labda ataanza kuitunza siku yao ya kuabudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…