Kifesi aamua kuacha kazi kwa Diamond Platinumz

Ilikuwa ni lazima aondoke huwezi pingana na boss kwa kumshauri hadharani instagram kuwa akili yake imepotea kwa kumwacha mpenzi wake wa zamani eti unamuombea akili imrudie arudi kwa mpenzi
Nilivyoona ile post nilishangaa sana Chief..!
Unamwambia boss wako akili yake haiko sawasawa..!
Tena unamwambia kwa kupost Instagram..!

Kwanza unaanzaje kuingilia mahusiano/ndoa ya boss wako..!?

Inawezekana hii ikawa sio sababu ya kijana kuondoka WCB,ila alikosea sana..!
 
Wanaume wa darisalam ndio wana mawazo hayo ya kiajiriwa
 
hivi kupiga picha nayo ni kazi ya mpaka mtu kujitangaza kuwa karesign?
 
hivi kupiga picha nayo ni kazi ya mpaka mtu kujitangaza kuwa karesign?
Kazi za sanaa zina ela sana kuliko kazi za maofisini hizi ambazo tunapoteza miaka na miaka kupata degree.
Anapiga picha na kuziedit anafanya na graphics.
Anaweza kutengeneza poster ukakuta analipwa hata laki mbili za designing tu hapo hajaweka kuiprint.
Photoshoot za wasanii au kwa ajili ya matangazo zinalipa sana.
Mtu ambaye hajui ndiye atadharau hizi kazi lakini ukweli bank teller anaheshima tu ya kukaa benki.
 
Sio mbaya, maamuzi ni maamuzi tu
 
Which is which habari nyingine zinasema Amefukuzwa kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…