Kifesi: Sina mazoea na Harris na ile sauti sio yangu

Kina nani tena hao, mbona umbea umekuwa mwingi kama fesibuku
 
Kazi kwelikweli Kisura nae kaipanchi audio yake kama alivyofanya Baba Askofu Gwajima
 
Harakati za kuhalalisha ushoga huanza kwa njia hii pia
 
Kazi kwelikweli Kisura nae kaipanchi audio yake kama alivyofanya Baba Askofu Gwajima

Gwajima kaja na hoja kwamba ule mkono ni Wa Baunsa ila hajatutajia je ni mkono Wa baunsa wake ama nn?,Kajifanya mtaalamu Wa mambo ya Video na Animated picture kasahau kwamba ukisogelea kamera ni kama unajizoom vile...
 
Yani gwajima kiboko , aiseh Yule mchungaji ni wa aina yake, pure devil and he doesn't hide
 
Mambo mengi yumkini alifanya zamani kipindi hajaokoka alishaayaacha msiwe mnahukumu hukumu tu watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…