Kifesi: Sina mazoea na Harris na ile sauti sio yangu

Mkuu warumi picha tafadhali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23] kifesi ana sauti sijui niseme ya kizembe sijui ya kisukuma ileee tofauti kabisa na sauti inayosikika kwenye ile audio.
Nyie wanaume wa Dar hiyo audio mnayoisema ipo wapi??
 
Hebu tuipate hii audio kidogo kwa sie vilaza wa umbea, wa mwisho kwenye darasa la umbe, tunaoburuza mkia hata kwa kupiga chabo..

Tuwekeeni hii audio.
 
Majasusi wanajifunza kupitia ubuyu,afunga wewe si she, nakupenda sana
 
Alikula sana Sadaka yangu yule Mzee tangu yupo Ubungo Maji to Kawe to ubungo Maji again....ala ile ishu ya Kumla mwimbaji kwaya wake ndo nilahamua kurudi Roman kwa unyenyekevuuu.
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti kifesi kaikana voice note yake... Hata gwajiboy kaikana sura yake mwenyewe
 
Dar kuna mastaa wa ajabu sa uyo @kifesi ndo nani wa mikoani hatumjui
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…