Kifo cha Abu Ubaydan Al Banshiri katika MV Bukoba

Makala ni nzuri,sema umekosea mwishoni kabisa uliposema kuwa alikufa alipokuwa amepanda Mv Bukoba AKIELEKEA Bukoba kuchukua malighafi ya kutengenezea bomu na hakufika, wakati ajali ilitokea wakati Mv Bukoba INATOKEA Bukoba ikielekea mwanza.
 
Huyo afisa dadeki zake walahi!
 
Ila Hawa watu(waarabu,wadosi na wazungu) kwa Sasa siwaamini hata iweje,naanza kuvuta picha unakuta mwaarabu kujificha kijijini kabisa, nakumbuka miaka ya 1990+ unakuta Kila mwezi waarabu wanatuzuga wanaenda kuwinda anaingia ijumaa anarudi jtatu na nyama ya nyati,kumbe zuga tu wanaenda kuwinda tembo na kuchukua pembe,mie ngozi nyeupe yeyote iliyopo nchini naamini ni gaidi au jasusi
Nalog off
 

if you live like you are in the past,the future will never find you
 
Bila simu Osama alikuwa anawasiliana vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…