Kifo cha Abu Ubaydan Al Banshiri katika MV Bukoba

Apo kuna siri kwa nini afe kwenye mV BUKOBA na alikuwa anajiandaa kulipua ubalozi wa marekani apo kuna kitu nyuma ya pazia mkuu
Asante kwa uzi huu
hata mie nimehisi kabisa.....inawezekana ikawa ni moja ya sababu kubwa zilizopelekea............
 
Theory yako haina mashiko hata kidogo. Kipi kigumu kati ya hivi: 1. Kuzamisha meli yenye watu 1000 ili mtu mmoja afe 2. Kumfuatilia mtu mmoja na kumuua.
Kwahiyo umaamini ndege ya Malaysia MH370 ilipotea kimazingira ya kawaida?
 
Aisee,, siku zote Mmarekani hana amani kabsa na Mwarabu,,, waarabu wako na akili nyingi sana,,, kuna jamaa yangu aliwahi kunambia wale Wasomali sio wa kuchezea kabsa,, hasa ukimkuta ameshakula Veve(mirungi) basi anauwezo mkubwa hata wa kuificha meli kubwa ya kimarekani na majasusi wakimarekani wasiipate kamwe,, imagine toka 1997 Osama hatumii simu,, swali alikuwa anawasiliana vp na wenzake na kupanga mashambulizi?
 
Alikua anatumia mfumo wa man to man , Osama alikua na courier mmoja tu ,anayetoa taarifa kwa Osama kupeleka kwa wengine ( nimejibu navyojua )
 
Kwahiyo umaamini ndege ya Malaysia MH370 ilipotea kimazingira ya kawaida?
Kulingana na nadharia zilizopo mpaka sasa hakuna jibu la uhakika. Wataalam bado hawana jibu sembuse mimi! Hata ule utafutaji uliokuwa unaendelea umesitishwa. Kuna wanaodhani kuwa marubani na abiria walipoteza fahamu kutokana na matatizo ya pressure kwenye ndege na ndege ikajiendea mpaka ilipoishiwa mafuta na kudondoka baharini. Na kuna wanaodhani kuwa rubani alifanya makusudi kuipeleka baharini, kutua kwenye maji na kuizamisha. Na kuna wenye kudhani mambo ya miujiza au imechukuliwa na viumbe kutoka sayari nyingine!
 
Wenye dunia yao washafanya yao kwenye ile ndege....We eti hata black box wasiioate na tech yao yote waliyonayo...
Kuna watu wakatili duniani na ndio hao wanagawa silaha waafrika muuane je wajali hizo roho milioni zinazopotea??NO!! wao wanachojali ni almasi dhahabu etc...Hakuna vita ya afrika ambayo mtu mweupe hajaweka mkobi wake....THEY DNT CARE ABOUT US! kwahiyo sishangai kuzamisha meli kuua mtu mmoja.
 
Hadithi za vijiweni hizi. Tena za watu ambao hawajaenda shule n kama wameenda hawana ufahamu na kinachoendelea duniani.
1. Watugawiye silaha ili tuuane wakati kuna magonjwa mengi ambayo yanaweza kutupukutisha kama kumbikumbi just kwa wao kutokutusaidia.
2. Watugawiye silaha tuuane wakati njaa na umaskini unaweza kutumaliza just kwa wao kutokutoa msaada.
Bottom line: Kama kweli tunakubali kupokea sialaha ili tuuane basi sisi ndiyo wajinga wa mwisho!
 
Wakisema wakate misaada si wanajua watashtukiwa, they want to appear clean, wanatupa silaha coz wanajua tutamalizana through hasira zetu wenyewe
 
Watashtukiwa na kina nani sasa? Fedha na mali ni yao! Kwani ni lazima kutoa msaada?
 
Back
Top Bottom