macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Theory yako haina mashiko hata kidogo. Kipi kigumu kati ya hivi: 1. Kuzamisha meli yenye watu 1000 ili mtu mmoja afe 2. Kumfuatilia mtu mmoja na kumuua.Nimewaza hivyo pia. Inawezekana marekani ndo walizamisha meli wampoteze huyo mtu.
hata mie nimehisi kabisa.....inawezekana ikawa ni moja ya sababu kubwa zilizopelekea............Apo kuna siri kwa nini afe kwenye mV BUKOBA na alikuwa anajiandaa kulipua ubalozi wa marekani apo kuna kitu nyuma ya pazia mkuu
Asante kwa uzi huu
Kwel kabisa mkuuhata mie nimehisi kabisa.....inawezekana ikawa ni moja ya sababu kubwa zilizopelekea............
Kwahiyo umaamini ndege ya Malaysia MH370 ilipotea kimazingira ya kawaida?Theory yako haina mashiko hata kidogo. Kipi kigumu kati ya hivi: 1. Kuzamisha meli yenye watu 1000 ili mtu mmoja afe 2. Kumfuatilia mtu mmoja na kumuua.
Alikua anatumia mfumo wa man to man , Osama alikua na courier mmoja tu ,anayetoa taarifa kwa Osama kupeleka kwa wengine ( nimejibu navyojua )Aisee,, siku zote Mmarekani hana amani kabsa na Mwarabu,,, waarabu wako na akili nyingi sana,,, kuna jamaa yangu aliwahi kunambia wale Wasomali sio wa kuchezea kabsa,, hasa ukimkuta ameshakula Veve(mirungi) basi anauwezo mkubwa hata wa kuificha meli kubwa ya kimarekani na majasusi wakimarekani wasiipate kamwe,, imagine toka 1997 Osama hatumii simu,, swali alikuwa anawasiliana vp na wenzake na kupanga mashambulizi?
Na hii ilikuwa njia salama kabsa kupata taarifa sahihi,,aisee huyu jamaa alikuwa anaakili sanaAlikua anatumia mfumo wa man to man , Osama alikua na courier mmoja tu ,anayetoa taarifa kwa Osama kupeleka kwa wengine ( nimejibu navyojua )
Kulingana na nadharia zilizopo mpaka sasa hakuna jibu la uhakika. Wataalam bado hawana jibu sembuse mimi! Hata ule utafutaji uliokuwa unaendelea umesitishwa. Kuna wanaodhani kuwa marubani na abiria walipoteza fahamu kutokana na matatizo ya pressure kwenye ndege na ndege ikajiendea mpaka ilipoishiwa mafuta na kudondoka baharini. Na kuna wanaodhani kuwa rubani alifanya makusudi kuipeleka baharini, kutua kwenye maji na kuizamisha. Na kuna wenye kudhani mambo ya miujiza au imechukuliwa na viumbe kutoka sayari nyingine!Kwahiyo umaamini ndege ya Malaysia MH370 ilipotea kimazingira ya kawaida?
Wenye dunia yao washafanya yao kwenye ile ndege....We eti hata black box wasiioate na tech yao yote waliyonayo...Kulingana na nadharia zilizopo mpaka sasa hakuna jibu la uhakika. Wataalam bado hawana jibu sembuse mimi! Hata ule utafutaji uliokuwa unaendelea umesitishwa. Kuna wanaodhani kuwa marubani na abiria walipoteza fahamu kutokana na matatizo ya pressure kwenye ndege na ndege ikajiendea mpaka ilipoishiwa mafuta na kudondoka baharini. Na kuna wanaodhani kuwa rubani alifanya makusudi kuipeleka baharini, kutua kwenye maji na kuizamisha. Na kuna wenye kudhani mambo ya miujiza au imechukuliwa na viumbe kutoka sayari nyingine!
Hadithi za vijiweni hizi. Tena za watu ambao hawajaenda shule n kama wameenda hawana ufahamu na kinachoendelea duniani.Wenye dunia yao washafanya yao kwenye ile ndege....We eti hata black box wasiioate na tech yao yote waliyonayo...
Kuna watu wakatili duniani na ndio hao wanagawa silaha waafrika muuane je wajali hizo roho milioni zinazopotea??NO!! wao wanachojali ni almasi dhahabu etc...Hakuna vita ya afrika ambayo mtu mweupe hajaweka mkobi wake....THEY DNT CARE ABOUT US! kwahiyo sishangai kuzamisha meli kuua mtu mmoja.
Wakisema wakate misaada si wanajua watashtukiwa, they want to appear clean, wanatupa silaha coz wanajua tutamalizana through hasira zetu wenyeweHadithi za vijiweni hizi. Tena za watu ambao hawajaenda shule n kama wameenda hawana ufahamu na kinachoendelea duniani.
1. Watugawiye silaha ili tuuane wakati kuna magonjwa mengi ambayo yanaweza kutupukutisha kama kumbikumbi just kwa wao kutokutusaidia.
2. Watugawiye silaha tuuane wakati njaa na umaskini unaweza kutumaliza just kwa wao kutokutoa msaada.
Bottom line: Kama kweli tunakubali kupokea sialaha ili tuuane basi sisi ndiyo wajinga wa mwisho!
Watashtukiwa na kina nani sasa? Fedha na mali ni yao! Kwani ni lazima kutoa msaada?Wakisema wakate misaada si wanajua watashtukiwa, they want to appear clean, wanatupa silaha coz wanajua tutamalizana through hasira zetu wenyewe
Basi tu, ndo unafiki wenyewe huo japo hakuna wa kuwashtaki kokoteWatashtukiwa na kina nani sasa? Fedha na mali ni yao! Kwani ni lazima kutoa msaada?
Hapo palikuwa na makosa boss .Nimerekebisha .Mkuu paragraph ya 3 kutoka mwisho hapo sijakuelewa vizuri.
Alikuwa anasafiri kuelekea Bukoba. Mbona Mv Bukoba ilipata ajali ikiwa inatoka Bukoba kuitafuta Mwanza.?
Simu walitumia wasaidizi wake ambao waliishi mbali kidogo. Na wao walitumia lugha za ishara zaidi kuliko maneno halisi (lazima uwe mmojawao ili muelewane) .Then taarifa zilifika kwa Osama kwa vikaratasi tu, kwa njia mbali mbali, watu, njiwa, wanyama nk .Bila simu Osama alikuwa anawasiliana vipi?
Bila shaka aliwasiliana na wenzake wakati wa safari .Ajali ilipotokea walikuja watu wawili wa al qaeda kuthibitisha kifo chake. Na alqaeda wenyewe walifanya uchunguzi na kujiridhisha kwamba mwenzao hakuuawa bali ilikuwa ni ajali.Najiuliza walijuaje kama alifia majini??