Kifo cha Al Baghdad - De javu

Kifo cha Al Baghdad - De javu

We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light. – Plato

Kwani matendo ya Osama dhidi ya walioteketea kwenye madege na majengo ilikuwa sahihi?
 
... mbona ni simple tu; kama hajafa, huyo al-Baghdadi atokee kwenye TV japo kwa sekunde moja aseme tu "hi". Otherwise, unaota ndoto za mchana; al-Baghdadi is dead an will never be seen again forever and ever!
Unaonyesha wazi ya kuwa hujamuelewa mtoa mada. Mtoa mada hakatai ya kuwa Baghdad hajafa,anajua kweli amekufa ila sio hivi karibuni kama tulivyotangaziwa.

Mimi tu kuna swali moja tu ambalo nataka kumuuliza mtoa mada.
 
Karibu
 
“Those who are able to see beyond the shadows and lies of their culture will never be understood, let alone believed, by the masses.”

― Plato

Acha propaganda wewe
These correlations are made to make fictitious on facts into manipulations
 
Huyo "Abuu Du'a" ndio "Khatib al Baghadad" sio ?

Kwanini wametumia "Kuniya" au "Lakabu" kumtambulisha huyo "Wanted" ?

Majina yanayo tumika hayana maana yoyote. Sababu la kwanza hawa watu wanakuwa ni kama 'ghost', hawapo, ni character ambayo huwa anatafutwa mtu wa ku-play, that character, ndiyo maana, leo kakamatwa, leo hiyo hiyo unasikia katoa video au audio, mara kafa, mara kafufuka tena, kwa hiyo ni 'fictitious figure', unacheza nayo utakavyo.

Utaona picha zilizo sambaa kwenye mitanda, hasa picha yake akiwa na McCaine, halafu picha akihutubia msikitini na hii inayo onesha sasa hivi wakiripoti kifo chake ni picha za watu watatu tofauti.

Mwisho kutumia 'Kuniya', ni njia nzuri ya kuwabamba na kupata ushawishi kwa vijana hasa wanao jiita 'new salafisim' ambao wanaitakidi ni bora kutumia majina hayo sababu, wema walio tangulia wengi waliitana kwa kutumia, 'Kuniya', hivyo ni njia ya kuongeza wachezaji wengi kwenye mziki wao.
 
Inawezekana ikawa anajua zaidi kwan CIA Ndio Nani

C ndio hao walio iaminisha dunia kama IRAQ Kna Silaha za Maangamizi Ila Sinc 2000s zinataftwa mpaka ss na hazijaonekana na si kama hazijaonekanika 2 lkn pia IRAQ Haifai
Hujui Intelligence nahisi ungesoma kuhusu Tom Clancy's Novel, ungeelewa nini CIA wanafanya.

Huyu jamaa kaleta propaganda za opponents from USA.
 
'KIPINDI AMBACHO ULIMWENGU UMEZAMISHWA KATIKA UJINGA NA UWONGO, KUSEMA UKWELI NI JAMBO LA KIMAPINDUZI (GEORGE ORWEL)

Nawewe unajiona mkweli? Mnafiki mkubwa
Unajificha kwenye kuokota mapishi ya propaganda walizoandaa wenzako unajifanya mkweli?

Ona aibu
 
Kwa maana hiyohiyo uliotumia kumtetea osama

Ulimuona Bush Au uliona Obama akimuuwa osama?

Au umemuona Trump akimuuwa yeyote

Stop these cheap propaganda
[/QUO
Umepitia hiyo blogi, sababu, hiyo mada ina post nne, ambazo kama ukiamua kuzipitia huenda ukazimaliza kesho asubuhi, sababu ni 'academic paper' zikiwa na reference za kutosha. Na hakuna mahala nimemtetea Osama, na kama ni msomaji wa posti zangu, sijawahi kuwa upande wa hao wanao itwa 'magaidi' au uapnde wa wale wanao waita wenzao magaidi, na wala siyo 'neutral', lakini nikieleza ukweli wa mambo kwa reference na ushahidi.
Kinacho nishangaza ni vile watu wapo tayari kushadadia uwongo hata fact zikiwa mbele yao na zaidi watu hawasomi wala kudadisi, sababu kama ungesoma kwa mazingatio nilicho andika hapa, nilicho andika kwenye hiyo blog, nadhani ungekuja na mawazo tofauti.
Great mind read books ...
 
Hujui Intelligence nahisi ungesoma kuhusu Tom Clancy's Novel, ungeelewa nini CIA wanafanya.

Huyu jamaa kaleta propaganda za opponents from USA.
Very strange reaction, kwa msomi ambacho angefanya ni kuja na hoja zinazo thibitisha eidha source nilizo taja siyo sahihi, au siyo realiable, na kuja na vyanzo, ushahidi na hoja kuthibitisha zako, lakini kusema ni propaganda, au oppenents from USA, hausaidii, inakuwa ni maoni yako ambapo ni sawa, lakini kama uzi huu umetaja vyanzo vya taarifa huwezi pinga kwa maoni bali kwa vyanzo na ushahidi.
 
Hujui Intelligence nahisi ungesoma kuhusu Tom Clancy's Novel, ungeelewa nini CIA wanafanya.

Huyu jamaa kaleta propaganda za opponents from USA.
Naifaham deeper kuliko unavyo fikiri, ninayo paper nimeandika kuhusiana na hiyo mada, ila kwa aina hii ya 'attitude' na 'way of thinking' niki uweka hapa tutapata tabu kuelewana.
 
Very strange reaction, kwa msomi ambacho angefanya ni kuja na hoja zinazo thibitisha eidha source nilizo taja siyo sahihi, au siyo realiable, na kuja na vyanzo, ushahidi na hoja kuthibitisha zako, lakini kusema ni propaganda, au oppenents from USA, hausaidii, inakuwa ni maoni yako ambapo ni sawa, lakini kama uzi huu umetaja vyanzo vya taarifa huwezi pinga kwa maoni bali kwa vyanzo na ushahidi.
Bull crap!
 
Naifaham deeper kuliko unavyo fikiri, ninayo paper nimeandika kuhusiana na hiyo mada, ila kwa aina hii ya 'attitude' na 'way of thinking' niki uweka hapa tutapata tabu kuelewana.
Saying so doesn't make so.

One thing I can tell you, your theory is fake just like any other and if you could write a book, it would be a failed book.
 
Back
Top Bottom