Kifo cha Albert Mangwea kinatufundisha nini?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwanza sitokuwa mwenye fadhila kuwapa pole familia yote ya Albert marafiki na wale wapenzi wote wa music wake akiwamo mie naamini katika zile kumi kumi alinifanya nichukue moja baada ya tar 31 kwenda kumwona ndugu zangu kaka zangu dada yangu ni kweli duniani tunapita na kama wanavyosema ingawa kwenye hiyo hiyo biblia kwetu wakristu tunaamini atutakufa wote kuna wengine watakutwa na kunyanyuliwa pengine na mie niko huko ninaeamini haya .......na wewe unaesoma ingawa wengi wanafikiria kuwaza mali zako na ndio hao wanatufanya watu wanakufa kabla ya wakati.................ndugu zangu kaka zangu dada zangu sipendi kusema kwa ubaya ila napenda kusaidia wale wanaokosa ufahamu nahasa pale shetani anapowapitia...sitaki kukwambia albert amekufa na nini na ni mapenzi ya mungu shetani ama pdidy ama wewe unaesoma hili ila kikubwa kilichomua ni madawa ya kulevya.

Sisemi kwa ubaya pengine kama una mhusika wa karibu southafrica akikueleza ni huzuni acha unachosikia kwenye redio clouds na zinginezo.......waheshimiwa walienda kujirusha kama kawaida lakini waliporudi wapo waliowakumbusha jamani mnafanya hivi mbona amjala na mshapiga ma whisky??sitaki uniulize sana ila nasema hili kama kijana mwenye hekima na Mungu anisaidie kufungua vijana mpaka atakaporudi bwana Yesu.

Wakati wakijidunga mmoja wao alipoona wameanza kukoroma akusita kukimbia na wakati wakishtuka hali ya kaka yetu Albert ni mbaya yupo mwenzake ambae walikuwa wakijidunga na tena kwa sindano ....Mungu atusamehe ila napenda kuwaonya vijana wenye nguvu, nguvu zenu sasa wakati muhimu kuzitumia kwenye ushindi wa maisha.

Leo hii nimemsikia mama amelia kwenye redio lakini najua alikuwa akijua Albert hali yake na aliyokuwa akifanya kabla ya kwenda huko SouthAfrica ........msikubali kutumiwa hata kama mnaitwa na watu huko nje na kuwakuta wanafanya mambo ya ajabu kataeni chomoeni pengine na sema hili si kwabahati mbaya labda kiwango alichokuwa akitumia kaka hapa Dar akikuwa kikubwa ama kikali kama alichokutana nacho huko kwa wenzetu....

Mungu atupe rehema yake amrehemu marehemu Albert Manwgea na raha ya milele ampe eebwana apumzike kwa aman amen amen ameeeeeeeeeeeeeennn
 
why kila mtu akifa mnakuja hii ya kwamba ''kifo chake kinatufundisha nn?! Hakitufundishi chochote......
 

Mangudu Digi...
Dark Master
Ngwair!
Cowboys in the House!

Maseeeela, {Maheeela}
Cowboys in the House!
Maseeeela, {Maheeela}
C'mon, Cowboys in the...

chorus
Maseeela!

Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni dili masela, Maheeela
Nikamate Mahela, Maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela

yo!
Mtoto wa kiume najituma na nguvu tena jasiri hata shule skusoma skuwa na hela skuwa na akili so...
Nipe dili mbili kila alfajiri then.. then usinipe zaidi ya wiki mbili
usiponiona ujue nishatambaa nishasafiri yaaani... niko mbele mi nasaka mahela
Nipeni, nipeni dili masela, Nipeni dili mi nikamate mahela..maheela
Nicheke, Hata bar zetu ni za vichochoroni, usishangae tukishindia komoni
tunapenda sana ma wine ma champagne, lakini ndo vile tena hatuna mahela!
Tunatamani mamisosi ya kumwaga, ni ma'Pizza ma'Burgers na Mazagamazaga, {Zaga!}
Ila ndo vile tena hatuna mahela, leo wenyewe ma'cowboy wameshindia Mapera
Tumekondeana kama miili ya Misumari, si unajua kuwa mwili huwa haujengwi kwa tofali
Bali kwa ugali wa maharage au Pizza pepperoni, au kitu cha Beef then mixer Macaroni
Inapendeza ni mambo tu ya fedha, full diet ni muhimu ipatikane kwa meza {mh!}
So, nyie mnasemaje masela, tusake dili tukamate mahela, riight

chorus
Maseeela!

Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni dili masela, Maheeela
Nikamate Mahela, Maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela

yo
Sjui hata nifanye dili ipi, naona kama vile zote hazilipi yaani...
Nishaamua mi kufanya muziki, kuja 41 nae eti anataka mahela
nimeshachoka haya maisha ya mtaani, ofisi maskani, breakfast mjani {of course yes}
wakati kichwa kinawaza mamilion, vipi nita'ride na marque stallion {check bling bling}
So kila kona ya mtaa kujimix, figure dili one two, one two the five six
ikiwezekana unapiga hata fix, so acha uoga wa kulala sjui kituo cha polisi
bila mapene jua mengi utamiss, achia mbali lazima wajinga wata diss
mi mwenyewe mtu fulani wa ma'chicks, vipi nitaopoa miss bila ya kuwa na mahela?
sio visenti kama fifty fifty, kutembea mfukoni mchizi sina hata jiti
so, nyie mnasemaje masela tusake dili tutadaka mahela, yeaaaaaah!

chorus
Maseeela!

Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni dili masela, Maheeela
Nikamate Mahela, Maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela

na, na
sjui nimcheki freddy, bob waziri au mwanangu zizzou sjui nani anipe dili
tena iwe moja tu yenye akili, ile ya kulala maskini na kuamka tajiri
nipeni dili nami nitoe mashairi yenye akili ili wenye sigiri wote wakiri
na kabla ya vocals ni smoke up bob marley kisha nitoe rhymes zenye sumu kali ka rift valley
na burn copy ka ice cream za Bakhresa, ni'make more money, more dough more pesa {cash}
Na waliozusha, {majombaz wawe teja!} kesha wapange foleni kuja kugombea umeneja {haha}
na wasionipenda ndo wazidi nichukia, ila dada zao kwenye kona sitoacha kuwabambia hola!
au mnasemaje masela na dawa yao ni kupata mahela, nipeni dili

chorus
Maseeela!

Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni dili masela, Maheeela
Nikamate Mahela, Maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela

Maseela, maheeela
Maseela, maheeela C'mon
Maseela, maheeela Cowboy
Maseela, maheeela
Maseela, maheeela
 
Last edited by a moderator:
Kwani alitumia au alitaka kusafiri nayo? Hizi habari zinachanganya. Wengine alitumia wengine alitaka kuwa Kiberenge ili aje nayo leo. Sasa ukweli ni upi?

RIH Ignore RIP
 
Hatutamuona Tena binam wa Free style Albert Mangwear! Ngumu sana kumeza Buriani Ngwair, dah!
 
Lakini nimetizama taarfa ya habari ITV saa mbili hawakuzungumzia kifo hiki hata kwenye habari za michezo na burudani. All in all RIP.
 
Mi nimetaza TBC sa 2 wamezungumzia kifo hiki na wameongea na mmoja kati ya rafiki zake aliyepo sf ameelezea tu kifo chake na kilichosababisha mauti kumfika. a'way we are a passenger here,we jus passng by so we need to takecr for ourslv. "bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe"
 
mbona fundisha lipo wazi tu? hapo unajifunza kuepukana na matumizi ya dawa za kulevya ambapo hupelekea death kwa mtumiaji. ova
 
mmh na ile ya weekend natumiwaga na marafiki whatever u do don't over do it RIP KAMANDA
 

very sad mwana kwatunaojua,hii ngoma ndo ilio nifanya kuelewa nikiasi gan Ngwair alikua anaumia kwa huu uzandik wa bongo
 
Last edited by a moderator:
very sad mwana kwatunaojua,hii ngoma ndo ilio nifanya kuelewa nikiasi gan Ngwair alikua anaumia kwa huu uzandik wa bongo

Ngwear, kwenye beti ulielea kaa kimelea
Masela na matoz wote waka kuelewa,
Waka-kwerea, wengine gele- ahh
Mkuu wa freestyle, ain't seen this a while
Hakuna waku chelea, wote sheherea
Ukishika mic pina, pina chelea
Uliona wapi toz asake dili kwenye mbigili?
Umepeleka utenzi wa madogo Kiswahili, anga ya pili
Ulivyo chili, umetia wana akili
Umetuachia feeling kwa hili lililojiri
Bingwa wa Kili nakiri, mdude dhahiri, ni kama umeji killi

Hapa Kiranga kashindwa kuendelea na utenzi kwa huzuni


 
Kwani alitumia au alitaka kusafiri nayo? Hizi habari zinachanganya. Wengine alitumia wengine alitaka kuwa Kiberenge ili aje nayo leo. Sasa ukweli ni upi?

RIH Ignore RIP

kama jamaa anaeleza kwamba alijidunga kwa sindano manake alikuwa anatumia na asingeweza kuwa kiberenge au sio?
 
Kila Unachokifanyat Sasa Ndicho Kitakacho Kuua! Ukiwa Mtu Wa Kusex Sana,UKIMWI ndo njia yako,ukiwa mvuta sigara-kifo,mwizi-kifo nk,so tunatakiwa kuwa wema na wenye tabia nzuri ili 2fe kwa mapenzi ya mungu na sio mapenzi ya MADAWA YA KULEVYA. Shame on that dead body!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…