Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kwanza sitokuwa mwenye fadhila kuwapa pole familia yote ya Albert marafiki na wale wapenzi wote wa music wake akiwamo mie naamini katika zile kumi kumi alinifanya nichukue moja baada ya tar 31 kwenda kumwona ndugu zangu kaka zangu dada yangu ni kweli duniani tunapita na kama wanavyosema ingawa kwenye hiyo hiyo biblia kwetu wakristu tunaamini atutakufa wote kuna wengine watakutwa na kunyanyuliwa pengine na mie niko huko ninaeamini haya .......na wewe unaesoma ingawa wengi wanafikiria kuwaza mali zako na ndio hao wanatufanya watu wanakufa kabla ya wakati.................ndugu zangu kaka zangu dada zangu sipendi kusema kwa ubaya ila napenda kusaidia wale wanaokosa ufahamu nahasa pale shetani anapowapitia...sitaki kukwambia albert amekufa na nini na ni mapenzi ya mungu shetani ama pdidy ama wewe unaesoma hili ila kikubwa kilichomua ni madawa ya kulevya.
Sisemi kwa ubaya pengine kama una mhusika wa karibu southafrica akikueleza ni huzuni acha unachosikia kwenye redio clouds na zinginezo.......waheshimiwa walienda kujirusha kama kawaida lakini waliporudi wapo waliowakumbusha jamani mnafanya hivi mbona amjala na mshapiga ma whisky??sitaki uniulize sana ila nasema hili kama kijana mwenye hekima na Mungu anisaidie kufungua vijana mpaka atakaporudi bwana Yesu.
Wakati wakijidunga mmoja wao alipoona wameanza kukoroma akusita kukimbia na wakati wakishtuka hali ya kaka yetu Albert ni mbaya yupo mwenzake ambae walikuwa wakijidunga na tena kwa sindano ....Mungu atusamehe ila napenda kuwaonya vijana wenye nguvu, nguvu zenu sasa wakati muhimu kuzitumia kwenye ushindi wa maisha.
Leo hii nimemsikia mama amelia kwenye redio lakini najua alikuwa akijua Albert hali yake na aliyokuwa akifanya kabla ya kwenda huko SouthAfrica ........msikubali kutumiwa hata kama mnaitwa na watu huko nje na kuwakuta wanafanya mambo ya ajabu kataeni chomoeni pengine na sema hili si kwabahati mbaya labda kiwango alichokuwa akitumia kaka hapa Dar akikuwa kikubwa ama kikali kama alichokutana nacho huko kwa wenzetu....
Mungu atupe rehema yake amrehemu marehemu Albert Manwgea na raha ya milele ampe eebwana apumzike kwa aman amen amen ameeeeeeeeeeeeeennn