Kifo cha Albert Mangwea kinatufundisha nini?

Kifo cha Albert Mangwea kinatufundisha nini?

Kila Unachokifanyat Sasa Ndicho Kitakacho Kuua! Ukiwa Mtu Wa Kusex Sana,UKIMWI ndo njia yako,ukiwa mvuta sigara-kifo,mwizi-kifo nk,so tunatakiwa kuwa wema na wenye tabia nzuri ili 2fe kwa mapenzi ya mungu na sio mapenzi ya MADAWA YA KULEVYA. Shame on that dead body!

Unajuaje kwamba kila mtu anataka kuishi maisha marefu?
 
Naomba kuuliza hivi hakuna hata mtu mmoja anaesaidia polisi kwa kifo cha Ngwair?
 
rip mangwea will mis u forever.
 
Albert Mangwair ni GWIJI WA BONGO HIP HOP
 
Back
Top Bottom