Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhBaba paroko siyo padre,wamesema ni kijana alikua mlevi akachukuliwa na kanisa kulelewa ili aache pombe,siyo Kwamba na yeye ni paroko
ACHENI kulichafua kanisa, before hamjafanya utafiti
MhNakazia
Kwa nini umesema hivyo ?Bila wanaume dunia ingekua salama....
Na juzi nimetoka kuwapa wagalatia za uso wanasema mapadri wamesoma mpaka phd za upupuNchi hii bado iko gizani huwa nashangaa watu wanaosema sijui watanzania wameelimika
Inahunisha sana mkuuMtoto analia baba baba..mama..mama..yani unaendelea tuu kushika panga sijui kisu...unapiga na kitu kizito anazimia bado nguvu unazo tuu..unaanza kukata kiungo kimoja na kingine upo tuu...hapa ndipo hata wale wanaouliza Mungu huwa yuko wapi nawaelewa...hapo ingetakiwa kutokee muujiza wa Mungu na giza totoro halafu hao watu wajikute katikati ya maji yenye mamba...
Elipidius Rwegoshora Paroko Msaidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu
Mapadre wamesoma ndugu yangu. Ndio maana mahospitalini wapo, shuleni wapo, vyuoni wapo kila sehemu wapo.Na juzi nimetoka kuwapa wagalatia za uso wanasema mapadri wamesoma mpaka phd za upupu
Nikiwauliza phd za nini? majibu ni mbaambaambaa
cc magnifico
Maasi/dhambi nyingi chanzo ni mwanaume....Kwa nini unesema hivyo ?
Ni kweli kabisa,kichwa cha habari kinasema paroko, undani wa habari unasema paroko msaidiziBaba paroko siyo padre,wamesema ni kijana alikua mlevi akachukuliwa na kanisa kulelewa ili aache pombe,siyo Kwamba na yeye ni paroko
ACHENI kulichafua kanisa, before hamjafanya utafiti
Wanaotupa vichanga,Maasi/dhambi nyingi chanzo ni mwanaume....
Inasikitisha sana.Hao wakabidhiwe wananchi wawaue taratibu kwa siku zaidi ya mia 600 wanapaswa wafe kwa uchungu mkali sana
Niliumia sana sana toka siku ya kwanza tu huyo mtoto alivyotoweka ,nilisali sn mtoto apatikane lkn haikuwa mapenzi ya Mungu ,nilipata taarifa jana nikiwa naelekea kazini ...kiukweli nilifika kazini na nikaondoka pasipo kumiaga yeyote yule kutokana na uchungu mzito mno niliokuwa nao
Niliwaza sana mtoto mdg kama yule anakutazama pasipo kujua nini kinatokea baada ya muda si mrefu
Unawezaje kuua mtoto kama yule yaani huna chembe yeyote ile ya huruma
Naomba kualikwa kutoa mateso makali sana kwa hao wendawazimu
Mwanamke anae walea watoto wake vyema hawawezi kuwa wakatili , na mda mwingine wanaume hufanya ukatili chanzo ni ili afanye Mwanamke wake afurahi.Maasi/dhambi nyingi chanzo ni mwanaume....
Paroko msaidizi siyo paroko(padre)?Ni kweli kabisa,kichwa cha habari kinasema paroko, undani wa habari unasema paroko msaidizi
kweli huu ni uchafuzi
Ila inaweza ikawa kweli ni padre..huwezi kuwa paroko msaidizi kama sio padre..na mm nimeumia ila hii ni dhambi yake binafsi na sio kanisa...Ni kweli kabisa,kichwa cha habari kinasema paroko, undani wa habari unasema paroko msaidizi
kweli huu ni uchafuzi