Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaKosa ni mwanamke kuongea na nyoka
Acha tuu braza....acha tuu mm nimeyashuhudia mengi...Ndani ya mwamvuli wa dini kumejificha watu waovu sana ambao mbele huwa wanatanguliza maneno matamu mno waaminike
Sana aisee, yani kila nikiangalia picha kabinti kanaonekana na sura innocent maskini ya Mungu wamekaua! Afrika jau kishenziDah ebu usiseme ivo. Inauma sana. Dogo anaonekana alikua very innocent na charming
Kikawaida mtu anaependa kujionyesha sana ameishika dini mbele za watu ,mara nyingi huwa kuna chembe chembe kubwa mno za unafki ndani yake.Acha tuu braza....acha tuu mm nimeyashuhudia mengi...
wafrika weusi ni waduduSana aisee, yani kila nikiangalia picha kabinti kanaonekana na sura innocent maskini ya Mungu wamekaua! Afrika jau kishenzi
Huyo paroko alikula kiapo cha kufanya kazi ya Mungu na kumkana shetani, mbona kamrudia shetani tena kwa kumkumbatia? Ameliaibisha kanisa.Majina yao sasa eti epidius kama kazaliwa Vatican vile
Unamkana Baba Paroko!Baba paroko siyo padre,wamesema ni kijana alikua mlevi akachukuliwa na kanisa kulelewa ili aache pombe,siyo Kwamba na yeye ni paroko
ACHENI kulichafua kanisa, before hamjafanya utafiti
NakaziaBila wanaume dunia ingekua salama....
NimekuelewaSijawazungumzia hao waliokamatwa wala mtu yeyote specific ila nimezungumzia tukio kwa ujumla na uvumi unaosemwa kwamba matukio hayo husukumwa zaidi na imani za kishirikina ili mtu kujipatia utajiri au madaraka,hayo ndiyo masikitiko yangu.