Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba paroko siyo padre,wamesema ni kijana alikua mlevi akachukuliwa na kanisa kulelewa ili aache pombe,siyo Kwamba na yeye ni paroko
ACHENI kulichafua kanisa, before hamjafanya utafiti
Yani waziri katamba sana kana kwamba alizuia tukio ,asijipe umaarufu kupitia tukio ambalo limetuumiza sana mioyo yetu 😩Kua vizuri kupambana na uhalifu ni kuhakikisha vitendo vya uhalifu havitokei kiholela kwa kuimalisha ulinzi na upelelezi mnene kabla ya matukio yenyewe, sio kumalizia watu Jera wengine wakishapoteza maisha, Alaaah.
Yani tangu May moaka June mtu kapotea mnasema mpo vizuri, Shwain.
Sijuhi kama inawezekana, kwahyo watu tunao waamini wanatutendea haya ?Huyo ni padre.
Kwani Padre kufanya jinai kutabadili Imani ya kabisa?
Kuna majitu ya hovyo kabisa dunia hii!Kina baba wengi hawana huruma!
Wanatelekeza familia kwa kisingizio cha mtoto mlemavu au wanaenda kutafuta maisha
Paroko wa Kanisa la Roman Catholic huko Misenyi Kagera ametiwa mbaroni na Polisi pamoja na wenzake wanna akiwemo Baba mzazi wa mtoto albino aliyeuwawa.
Inadaiwa Bwana Paroko Kwa jina la Epidius Rwegishora alimfuata Baba mzazi wa mtoto albino aliyeuwawa na kumshawishi eti wafanye biashara ya viungo.
View: https://www.instagram.com/p/C8Zj-FcNzue/?igsh=MWFjZmdxcHZ2ZHh5MQ==
My Take
Hayo ndio Makanisa yenu na hao ndio Viongozi wenu mnaodai wanawawekea mikono ya Baraka.
Hakuna watu Wana kashfa za uhayawani na unyama ikiwemo uchawi kama Viongozi wa dini mlizoletewa na Wazungu na Waarabu kuanzia usenge(Ushoga) Hadi kulawiti Watoto.Very sad.
R.I.P mtoto.
Jipe muda soma habari.Wapi waliposema ni Padre?
Dah ebu usiseme ivo. Inauma sana. Dogo anaonekana alikua very innocent na charmingKwahiyo huyo mtoto alivyokua analia wao hawakujali wakawa wanaendelea kumnyofoa viungo!
Watu wakatiliii
Atajibeba!Jipe muda soma habari.
Huyo bwana ni paroko msaidizi.
Kama katenda kosa, ametenda yeye kama yeye hajatumwa na kabisa.
Dini isikupe upofu, mahakama itachunguza ukweli wote
Paroko wa Kanisa la Roman Catholic huko Misenyi Kagera ametiwa mbaroni na Polisi pamoja na wenzake wanna akiwemo Baba mzazi wa mtoto albino aliyeuwawa.
Inadaiwa Bwana Paroko Kwa jina la Epidius Rwegishora alimfuata Baba mzazi wa mtoto albino aliyeuwawa na kumshawishi eti wafanye biashara ya viungo.
View: https://www.instagram.com/p/C8Zj-FcNzue/?igsh=MWFjZmdxcHZ2ZHh5MQ==
My Take
Hayo ndio Makanisa yenu na hao ndio Viongozi wenu mnaodai wanawawekea mikono ya Baraka.
Hakuna watu Wana kashfa za uhayawani na unyama ikiwemo uchawi kama Viongozi wa dini mlizoletewa na Wazungu na Waarabu kuanzia usenge(Ushoga) Hadi kulawiti Watoto.Very sad.
R.I.P mtoto.
Kwa spidi hii-bila kuwa na hata camera za barabarani , wanatakiwa kupongezwa sana.![]()
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema kuwa tayari Jeshi la Polisi limewakamata watu wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novath (2).
Mei 30, 2024 Asimwe anadaiwa alichukuliwa na wattu wasiojulikana nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera na juhudi za kumtafuta hazikuxzaa matunda hadi hapo Juni 17, 2024 mwili wake ulipopatikana ukiwa katika mfuko wa sandarusi huku baadhi ya viungo vikiwa vimenyofolewa.
Waziri Masauni amesema watuhumiwa hao wamekamatwa wakiwa na vithibiti vya kutendea kosa hilo na kufafanua kuwa hawajabahatisha katika kuwakamaa watu hao.
“Hakuna hata mmoja ambaye amehusika na mauaji ya binti huyu malaika wa Mungu atakayrepona, tumefikia pazuri na kitakachofanyika itakuwa fundisho kwa wahalifu wengine,, tupo vizuri katika kukabiliana na uhalifu na ndiyo maana hakuna mtu atakayefanya uhfifu asipatikane,” amesema Masauni
Credit: Bongo 5
Sijawazungumzia hao waliokamatwa wala mtu yeyote specific ila nimezungumzia tukio kwa ujumla na uvumi unaosemwa kwamba matukio hayo husukumwa zaidi na imani za kishirikina ili mtu kujipatia utajiri au madaraka,hayo ndiyo masikitiko yangu.Je vipi kama sio wao na wahusika wakuu hawajapatikana? Tuwahukumu ivo ivo kwa kutumia emotion zetu?