jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Tuombe Mungu sana Mahakama isije waachia kwa technicalities kama wahalifu wengine wanavyo kwepa mkono wa sheria kwa hizo mbinu,hasa wakipata mawakili wa utetezi kama akina Kibatala!!Kuwakamata hao wahalifu ilikuwa ni kazi nyepesi sana kwa polisi.
Watu wanaoamini ushirikina huwa ni wajinga hawanaga akili ya kupanga tukio bila kuacha trace.
Nina uhakika kipindi wanamuiba mtoto walikuwa na simu zao mfukoni. Na hata kipindi wanamuua mtoto simu zilikuwepo.
Polisi hawajatumia hata nguvu ya kuwajua na hata kuwatafuta. Wamecheza na simu zao tu