Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Napendekeza adhabu ya kwanza ichukuliwe sindano ichomwe motoo mpaka iwe nyekundu halafu waiingize kwenye tundu la bolo zao,tena iwe live.
 
Kwann wasipelelezwe kujua nani mteja wao hatua kwa hatua mpaka kuwapata wanunuzi..
Sema mnajua ni nyinyie wanasiasa ndo wateja wakubwa hivyo mtakomaa wanyogwe ili msijulikane 😡😡

Lakini pia kwa kupenda umaarufu hamshidwi kutengeneza story mmewakamata kumbe ni geresha tu
Yote hayo watayafanya bila hata kuwakumbusha, ndo kazi yao hasa,
Hao wateja wa viungo vya albino watakamatwa tu
 
Kuwakamata hao wahalifu ilikuwa ni kazi nyepesi sana kwa polisi.

Watu wanaoamini ushirikina huwa ni wajinga hawanaga akili ya kupanga tukio bila kuacha trace.

Nina uhakika kipindi wanamuiba mtoto walikuwa na simu zao mfukoni. Na hata kipindi wanamuua mtoto simu zilikuwepo.

Polisi hawajatumia hata nguvu ya kuwajua na hata kuwatafuta. Wamecheza na simu zao tu
Kabisa mzee.walichek lain kwenye system siku wanaend muiba mtt wakazi trace wakawakamata kama kuku.
 
Yote hayo watayafanya bila hata kuwakumbusha, ndo kazi yao hasa,
Hao wateja wa viungo vya albino watakamatwa tu
Kama wakati gani ???kwann waziri amekuja mbio mbio kusema wamewakamata na sio police wa eneo husika nyie ni wazuri sana kwa kuiba na kusema uwongo hizi zimekuwa silaha zenu kuu aibu itaambatana nanyi na vizazi vyenu mpaka hatma yenu...
 
We bisha tu ila jua serikali ina nguvu ikimtaka mhalifu ni dakika ashadakwa.
Nakuhakikishia wote na chain yao watakamatwa na watachukuliwa hatua.
Serikali ina mkono mrefu
 
Kuwakamata hao wahalifu ilikuwa ni kazi nyepesi sana kwa polisi.

Watu wanaoamini ushirikina huwa ni wajinga hawanaga akili ya kupanga tukio bila kuacha trace.

Nina uhakika kipindi wanamuiba mtoto walikuwa na simu zao mfukoni. Na hata kipindi wanamuua mtoto simu zilikuwepo.

Polisi hawajatumia hata nguvu ya kuwajua na hata kuwatafuta. Wamecheza na simu zao tu
Usikute hata walienda kwanza kwa mganga kujizindika ili wakifanya uhalifu wasikamatwe. Hamna watu wajinga na hatari kama waamini ushirikina. Uhatari wao unatokana na ujinga wao.
 
Back
Top Bottom