Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Inahunisha sana mkuu
 
Ndugu zangu Watanzania

Nimesema na niliandika humu kuwa Damu ya mtoto yule mwenye Ulemavu wa ngozi aliyeuwawa kikatili Itazungumza na kunena mpaka watu wote waliohusika wakamatwe.sasa wote wamekamatwa akiwepo baba Mzazi wa mtoto aliyeshawishiwa na Paroko kufanya kitendo hicho cha kinyama.

Ambaye paroko huyo alimtafuta mganga wa kienyeji kwa ajili ya kufanya biashara hiyo haramu ya viungo vya binadamu. Watu hao na wengine ambao jumla yao ni tisa wamekutwa pia na viungo hivyo vya binadamu katika mifuko wakiwa wapo katika harakati za kutafuta wateja.
 
Inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…