Kifo cha Benard Membe is a waking alert

Acheni mis information.... Ni wapi wamesema blood clots zimesababishwa na chanjo?
Vyovyote ilivyokuwa,watu waliochanja chanjo za ule ugonjwa fake(over hipped disease) wapo katika hatari sana au karibu na kilichomtokea Membe.

kifo Cha ghafla Cha aina hii kilichomtikea membe majibu ya daktari ni yaleyale..matatizo ya upumuaji na mfumo wa damu.

Matrix.
 
Nani alisema ukichanjwa haupati COVID 19? Ile inapunguza risks ni kama tu kuvaa condom na kulinda maambukizi dhidi ya vvu?

Pia takwimu zipi zinasema kuwa waliochanjwa Wana risk zaidi kuliko wasiochanjwa?
 
Nani alisema ukichanjwa haupati COVID 19? Ile inapunguza risks ni kama tu kuvaa condom na kulinda maambukizi dhidi ya vvu?

Pia takwimu zipi zinasema kuwa waliochanjwa Wana risk zaidi kuliko wasiochanjwa?
Ukichanjwa nini? Hizo chanjo fake zenye madhara?

Kuchanjwa kwa ugonjwa gani? Huo ugonjwa fake ulioachwa kupigiwa makelele baada ya Vita vya Ukraine?

Alafu unasema "ukichanja inapunguza risk ya bla bla"

Covid 19 was scam.

wanasiasa mna matatizo Sana.
 
NAUNGANA NAWE LIPO GENGE (UNDERCAPETS) HATARI SANA LAKUVUNJA BILA HURUMA YOYOTE. LIPO SLOW LAKINI MAKINI KWELI.
 
"waking alert" siyo sawa grammatically, labda uandike awakening alert.
 
Nchi ngumu sana hii.

Nilidhani watu kama Bernard Membe akijisikia vibaya kiafya aweza kukata tiketi ya ndege kwenda ughaibuni kwa uchunguzi wa afya au hata kuufanyia mwili MOT.

Lakini ukikanyaga sehemu zisizostahiki unakuwa kama umepigwa ganzi na unakuwa washindwa kufanya maamuzi sahihi ya dharura.

RIP mzee BK Membe.
 
Kusamehe hakulazimishwi.Halafu,umri wake ulikuwa mkubwa.Kufa kwake kuwe ajabu?Labda(!?)
 
Hisia zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…