zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nani wa kumchallenge Samia huko CCM? Mwenyekiti kwa CCM ni zaidi ya mungu kwa hiyo hakuna wa kumpinga. 2010 JK alikua dhaifu sana ila hakuna aliyediriki kumpinga, shibuda akajaribu kupima upepo wote tunajua kilichomkuta.kifupi mama 2025 hawezi kupewa nchi kwa kweli.
Ukiacha kutajwa kwa jina ila hii miandiko sio ya kuipuuza...kuna jumbe wanakumbushana na kuonyesha idara imegawanyika.Nchimbi unajipigia chapuo ,ninaona unautaka uraisi 2030.
Mwanasheria wako bado yuko masomeniNimeandika alafu nikafuta.
Jiulize ni kwanini?
Hili neno la "Mis information" linatumika sana kwenye siasa kwa watu wenye maslahi ya kisiasa, sijui ni kwa nini unalitilia mkazo sana. Kwenye post yangu sijatoa kauli yoyote juu chanjo kuwa ndio chanzo cha kuganda kwa damu. Nimehoji tu kama aliwahi kuchanjwa. Kwenye taaruma ya Afya na tiba kauli yoyote kuhusu afya msingi wake ni matokeo ya uchunguzi.So tusitoe kauli za jumla jumla, zinaweza leta mis information
🤣3. Mrudisheni Nchimbi asaidie ku regulate hii movement ndani ya serikali na chama for the sake of 2025 au 30 kama mnataka kutengeneza mwelekeo mzuri alioanzisha Mama au turudi tena kuanza upya hii flow ya FDIs mnayoiona Mama amefanya kazi kubwa sana dhibitini hii movement.
Kuna maswali manne nimeuliza kwenye post yangu, sijui kwa nini umechagua hili la chanjo kama Mis information?Acheni mis information.... Ni wapi wamesema blood clots zimesababishwa na chanjo?
Kwa hiyo wewe kwa upeo wako ulikuwa unajua mtu akifa anafufuka?Niteseke nani Nini Sasa? Waliofariki ni CCM Sasa Chadema niteseke Nini? Acheni kutafuta faraja ya lazima!! Ibilisi wenu hawezi fufuka hata tufe wangapi.
FaizaFoxy......"waking alert" siyo sawa grammatically, labda uandike awakening alert.
Halafu huyu mkongwe ni muungwana sana...Hawezi kuwa Chief Hangaya kweli? 🤔FaizaFoxy......
Magufuli alijitahidi kuwamaliza wapinzani wake ila alimalizika kabla hawajamalizikaInasemekana Membe alitaka kugombea 2025 hivyo kawekwa pembeni, RIP Membe
Yupo andakava.....MUSIBA YUKO WAPI?