zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nani wa kumchallenge Samia huko CCM? Mwenyekiti kwa CCM ni zaidi ya mungu kwa hiyo hakuna wa kumpinga. 2010 JK alikua dhaifu sana ila hakuna aliyediriki kumpinga, shibuda akajaribu kupima upepo wote tunajua kilichomkuta.kifupi mama 2025 hawezi kupewa nchi kwa kweli.
Ni hivi, kelele zitakua nyingi ila mgombea wa CCM kwa 2025 ni Mama Samia hakuna kiongozi wa Afrika anaachia madaraka eti kisa watu wamekataa!!