Kifo cha Benard Membe is a waking alert

Kifo cha Benard Membe is a waking alert

kifupi mama 2025 hawezi kupewa nchi kwa kweli.
Nani wa kumchallenge Samia huko CCM? Mwenyekiti kwa CCM ni zaidi ya mungu kwa hiyo hakuna wa kumpinga. 2010 JK alikua dhaifu sana ila hakuna aliyediriki kumpinga, shibuda akajaribu kupima upepo wote tunajua kilichomkuta.

Ni hivi, kelele zitakua nyingi ila mgombea wa CCM kwa 2025 ni Mama Samia hakuna kiongozi wa Afrika anaachia madaraka eti kisa watu wamekataa!!
 
So tusitoe kauli za jumla jumla, zinaweza leta mis information
Hili neno la "Mis information" linatumika sana kwenye siasa kwa watu wenye maslahi ya kisiasa, sijui ni kwa nini unalitilia mkazo sana. Kwenye post yangu sijatoa kauli yoyote juu chanjo kuwa ndio chanzo cha kuganda kwa damu. Nimehoji tu kama aliwahi kuchanjwa. Kwenye taaruma ya Afya na tiba kauli yoyote kuhusu afya msingi wake ni matokeo ya uchunguzi.
Mimi siyo mwanasiasa na kwa hulka yangu sitegemei kutumia Mis information kama mtaji kwa sababu sina maslahi yoyote huko. Hoja yangu iko kwenye ule uharaka wa kutangaza chanzo cha kifo cha ghafla, kwa mtu ambaye hakuwahi kuwa na matatizo ya kiafya kama ilivyosemwa na watu wake wa karibu.
 
3. Mrudisheni Nchimbi asaidie ku regulate hii movement ndani ya serikali na chama for the sake of 2025 au 30 kama mnataka kutengeneza mwelekeo mzuri alioanzisha Mama au turudi tena kuanza upya hii flow ya FDIs mnayoiona Mama amefanya kazi kubwa sana dhibitini hii movement.
🤣
👇
🤭
 
Acheni mis information.... Ni wapi wamesema blood clots zimesababishwa na chanjo?
Kuna maswali manne nimeuliza kwenye post yangu, sijui kwa nini umechagua hili la chanjo kama Mis information?
Hayo ni maswali manne, sijui kauli yangu ya ku-mis inform unaiona wapi kwenye post yangu?. 😳
 
Niteseke nani Nini Sasa? Waliofariki ni CCM Sasa Chadema niteseke Nini? Acheni kutafuta faraja ya lazima!! Ibilisi wenu hawezi fufuka hata tufe wangapi.
Kwa hiyo wewe kwa upeo wako ulikuwa unajua mtu akifa anafufuka?
Kwa comment hiyo inaonyesha ni kwa jinsi gani unavyoteseka, na utateseka sana.
 
Back
Top Bottom