Kifo cha biashara ya Night Club

Biashara ya club inahitaji ubunifu, ila haijafa na wala hautokuja kufa.
 
Unavyozijua hizo clubs ni kama wewe ndo mwekezaji wao mkuu east and central Africa.
 
Wezi wengi wa simu, vibaka baadhi wanashirikiana na walinzi wa night clubs, nani aende huko usiku wa manane akakabwe? Waimarishe usalama, na kando kando ya club kusiwepo vibaka.
 
Wezi wengi wa simu, vibaka baadhi wanashirikiana na walinzi wa night clubs, nani aende huko usiku wa manane akakabwe? Waimarishe usalama, na kando kando ya club kusiwepo vibaka.
Ulikabwa club gani mwamba?
 
Vibes, maisha , down Town , miaka ya 2014 -2016 ilikuwa moto,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…