Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Poleni sana wafiwa ni kifo cha kushitukizwa sana. Lakini mimi nauliza ilikiuwaje aruke ukuta mbona hawasemi? Ina maana hamna mtu anayejua kwanini aliruka ukuta mpaka sasa au wamefanya siri? Kwani hata mkewe lazima angesema chochote.
RIP
Alishindwa kufungua geti na ufunguo aliokuwa nao then akaamua kuruka ukuta. kwenye zile picha kunaonekana matofali yaliyopangwa kama ngazi. inaelekea ilikuwa ni kawaida yake kuruka kwa kupitia eneo lile lile.
meneja wa neshno charles masanja atutoka
http://2.bp.blogspot.com/_HO8ijU76ZcQ/Sty9rArjpuI/AAAAAAAAyso/efNIDQoY6mc/s1600-h/2.JPG