Kifo cha Celestin Charles Masanja

Kifo cha Celestin Charles Masanja

Poleni sana wafiwa ni kifo cha kushitukizwa sana. Lakini mimi nauliza ilikiuwaje aruke ukuta mbona hawasemi? Ina maana hamna mtu anayejua kwanini aliruka ukuta mpaka sasa au wamefanya siri? Kwani hata mkewe lazima angesema chochote.

RIP
Alishindwa kufungua geti na ufunguo aliokuwa nao then akaamua kuruka ukuta. kwenye zile picha kunaonekana matofali yaliyopangwa kama ngazi. inaelekea ilikuwa ni kawaida yake kuruka kwa kupitia eneo lile lile.


meneja wa neshno charles masanja atutoka

Mlinzi wa Nyumba ya jirani Emmanuel Damas, akionesha eneo ambalo Charles Masanja alianguka wakati akijaribu kuruka ukuta wa Nyumbani kwake majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo. Baada ya kuanguka, Masanja alifariki muda mfupi baadae wakati akipelekwa Hospitali.
http://2.bp.blogspot.com/_HO8ijU76ZcQ/Sty9rArjpuI/AAAAAAAAyso/efNIDQoY6mc/s1600-h/2.JPG

 
RIP Masanja mara ya mwisho tulikuwa wote pale Kili Times, three years ago, bwana ametoa, bwana ametoa, Jina la bwana lihimidiwe!

Wewe masanilo wewe! Sema tu unachotaka kusema. Is it the kili time i used to know those days. Yaani pale pale shekilango au?
 
labda kwa wale majirani zake kma mimi nampa pole huyu mama...ameteseka sana na mh sana masanja...mama amekalishwa vikao vya ususluhisho mpaka akachoka..baya zaidi lilikuwa ni kitendo cha kurudi ss saba nane ama asbh..lingine sijui nitaliitaje anarudishwa usiku na mwanamke huku mkewe akimfungulia...akiulizwa anajibu mfanyakazi mwenzangu...wenye ndoa kazi ipo....mkewe akachoka na kuapa kutomfungulia kamwe...hapo ndipo kasheshe ikaanza akaanza kuweka matofali ndani na nje ili aweze kuingi...inasikitisha zoez hilo lilikuwa linamsaidia tu kuingia ndani ya kuita na kulala nje mpaka asbh huku mkewe akisubiri kichapo cha nguvu...ple mama masanja ndio ukkubwa kuna kipindi ili MUNGU AKUWEKE KILELENI ANAITAJI KUKUPITISHA KWENYE MAPITO NA HAPO UNAPOFANIKIWA MWANGA WA MAISHA YAKO UNAANZA KUCHANUA....POLEN WAFIWA POLEN WANAMICHEZO...NAOMBA WALE WENYE NDOA NA KURUDI USIKU IWE FUNDISHO NA ELIMU JITAHIDINI KULINDA NDOA ZENU...KAMA MAMA MASANJA

RIP
 
Haaaaa!
FirstLady, Womenofsubstance and Mwanajamiione, Please we need to hear from you.
 
kama nilivyosema maswali ni mengi kuliko majibu kwa kweli inasikitisha sana.
Ila nionavyo mimi, inawezekana alikuwa ana tabia hiyo ya kurudi usiku na may be washaongea na mamaa lakini hakuacha, so possibly mkewe alikuwa keshachoka kuamshwa uskiku wa manane kufungua geti, au inawezekana alimuamsha sana mama kanogewa na usingizi hakusikia akaamua kufanya shoti cut. Pia inawezekana kulikuwa na misunderstanding hapo za siku nyingi, esp kama mke ajue labda anatokaga kwa nyumba ndogo. Najaribu kufikiria mengi sana sipati jibu. Zaidi namhurumia sana huyo mkewe maana na familia zetu za kiafrika am sure hadi sasa kila mtu anamnyooshea kidole. ooh hili ni fundisho kubwa sana kwa wanandoa i guess.



hakuna swali gumu hata kidunchu, jamaa ni mpiga maji aliekubuhu watu wa mtaa wa kimara wanamjua, kilichotokea ni kwamba mke wake alikua ameshachoka na tabia yake, so siku hiyo hakufunguliwa mlango. thats y akaruka na kwa bahati mbaya ndo umauti ukamkuta. so sad but lemie pose a quest to all ladies in here, do you think what your fellow lady did was fair? Je kulikua hamna njia nyingine ya kutumia may be...coz i think she will never find peace of mind for ever.
 
...kweli kabisa usemayo nyamayao,...angalia hii picha (kwa hisani ya Issa Michuzi blog) matofali yamepangwa kwa mpangilio wa ngazi,... na majani yaliyootea pembeni si ya jana wala leo...

Tabia mbaya sana kina mama kutowafungulia milango waume zenu! (sio wewe nyamayao, usijenimeza buree... 🙂)

Kwa kweli mkuu kama tungeju tutakufaje tungekuwa watu very humble in this world!!! Ukisoma hii thread utagundua kwamba jamaa nae alikuwa na mapungufu yake, lakini kifo chake kimemkuta pabaya sana!!! Najaribu ku-imagine baba wa 50s anaruka ukuta

Ni loss kwetu kamawadau wa michezo, na ni loss kwa familia

Sasa hapa wanaume tunajifunza nini?????

RIP Masanja, ulikuwa unaonekana kijana kuliko umri wako
 
Wewe masanilo wewe! Sema tu unachotaka kusema. Is it the kili time i used to know those days. Yaani pale pale shekilango au?

Mazee siku hiyo kwenye meza yetu alikuwepo Masanja na Wambura yule aliyekuwa FAT enzi hizo, jamaa walikuwa wapiga maji wazuri sana. Ile Kili Times pale Shekilango ndugu....Jamaa mbona anajulikana sana kwa kilaji na Totoz!
 
ndo maana nilikuwa najiuliza hivi huyu jamaa nini kimemuua, kumbe ni ujinga wake, huwezi kurudi home usiku wa manae kila siku halafu una mke na watoto.ni ujinga sana
naambiwa hapa wife wake alichoka natabia hii
japo mama huyu hatapata furaha maishani hili liwe fundisho
 
labda kwa wale majirani zake kma mimi nampa pole huyu mama...ameteseka sana na mh sana masanja...
Nitakupenda wakati wa raha, tabu na Shida

mama amekalishwa vikao vya ususluhisho mpaka akachoka..
Enyi waume wapendeni wake zenu, nanyi wake watiini waume zenu

baya zaidi lilikuwa ni kitendo cha kurudi ss saba nane ama asbh.
mmmmh chukulianeni mizigo kwa Upole, kwa maana tunda la roho ni upole, utu wema, Fadhira, .....

lingine sijui nitaliitaje anarudishwa usiku na mwanamke huku mkewe akimfungulia...
akiulizwa anajibu mfanyakazi mwenzangu...wenye ndoa kazi ipo.
Imeandikwa usizini, lakini nawaambia amtazamaye mwanamke kwa jicho la kumtamani amesha zini naye moyoni

...mkewe akachoka na kuapa kutomfungulia kamwe...
Atakaye vumilia mpaka mwisho huyo ndiye atakayeokolewa

hapo ndipo kasheshe ikaanza akaanza kuweka matofali ndani na nje ili aweze kuingia...inasikitisha zoezi hilo lilikuwa linamsaidia tu kuingia ndani ya ukuta na kulala nje mpaka asubuhi huku mkewe akisubiri kichapo cha nguvu...pole mama masanja ndio ukkubwa kuna kipindi ili

Lakini katika mjdala mzima anashmabuliwa Mama Masanja, tupo biased kiasi, nadhani Masanja pia anapaswa kulaumiwa kwa kuendekeza ulabu. Pia waife wake ahkujua jamaa mchapa maji wakati wanaoana?
 
Back
Top Bottom