Kifo cha Diamond Platnumz kinaweza kupoteza Mamia ya watu pamoja na Muziki wa Tanzania

Yaani afe mjenzi huru halafu raia wengine wafe!!!

Labda iwe sababu ya kafara zao
 
Serikali inao wajibu wa kuwaangalia raia wake wote bila kujali ukwasi wao wala ukata wao . Tusingependa kuiona Serikali yetu ikiweka nguvu katika kuangalia na kulinda maslahi ya kundi fulani la watu kwani hiyo itakuwa ni ya kibaguzi. Mungu awaongoze viongizi wetu wa Serikali wawatendee raia wote haki wanayoistahili.
 
Badala ujiuonee huruma wewe juu ya kifo chako wewe unamuonea huruma Diamond
 

Sawa Esma umesomeka..!!
 
Hivi ni Nani aliezuia msipigwe madole nyinyi mashoga ?

JF Sasa imejaa mashoga tupu, control hio shobo nengwa, mwanaume kumsifia sana mwanaume mwenzie means yupo tayari kumpa kinyeo chake akifanye anavyotaka, punguzeni
 
uliishia darasa la ngapi hukumsikiliza mwalimu alivyosema kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi au ulitoroka darasani 🤣
 
Huyu matter core anamuombea mwenzie kifo. Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…