Kifo cha Diamond Platnumz kinaweza kupoteza Mamia ya watu pamoja na Muziki wa Tanzania

Yes upendo wa mashabiki kwa diamond upo kwenye mioyo.
 
Kafa kanumba na bongo muvi inasonga mpela mpela... watayumba tu kidogo ila mwendo utazidi kasi wa fursa Kwa wengine mwendo mchibuyu...

Siku hizi mapengo yanazibika
 
Mlet mada hivi unajitambua akili? Unataka kutuaminsha ujinga wako kuwa akifa Diamond na muziki wa Tanzania utakufa? Wamekufa kina Maneti, King Enock, Maalim Gurumo, TX Moshi, Momba, Jerry Nashon, Eddy Sheggy, Marijani, Sauti ya Zege, na wengine magwiji haswa na muziki wetu wa dansi bado upo tu......Diamond ni nani? Wacha ujinga wako.
 
Ujinga mtupu. Kama Diamond wako ni big deal hao akina Bakhresa wanaoajili maelfu tusemeje nao waangaliwe na serikali au ni mawazo ya kijinga na kimaskini?
 
Njoo mchukulie rambirambi yake ale in advance wasije gombania wahuni
 
Kafa magu mtetez wa wanyonge nambali one na wanyonge hao hao wakasema boraa tu sembuse huyo pusi
 
Hivi ni Nani aliezuia msipigwe madole nyinyi mashoga ?

JF Sasa imejaa mashoga tupu, control hio shobo nengwa, mwanaume kumsifia sana mwanaume mwenzie means yupo tayari kumpa kinyeo chake akifanye anavyotaka, punguzeni
Acha uchawi mbwa koko wewe.... ulitaka usifiwe wewe kwa kipi ulichofanya ... we endelea na kuwa mtumwa
 
Mada nyingine bhana! Mm nikajua Diamondplatinumz kafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…