Kifo cha Dkt. Magufuli chaacha sintofahamu kubwa kwa wafanyakazi

Hi post ni ya kichochezi ifutwe.Umkumbuke mtu aliyekufanya ulimie meno?
 

Soma kwa makini ulichoandika, utajigundua wewe ni mjinga. Una msifu mtu wakati huohuo unaorodhesha mapungufu yake mengi.
 
Habari yoooote hii unaandika kwa mtu aliyezikwa tayari ?? Ebu kubali matokeo na usonge mbele.
 
Yaani ushindwe kupandisha mishahara ya watu kwa miaka 10!!ili ukija kuipandisha iwe kwa kiwango kikubwa sana kwa wakati mmoja?!!huo mfumko wa bei wa kila siku inakuwaje??nyongeza hata zile za kila mwaka za kisheria hakuna!!pesa zao zot ndio zilikuwa zinapelekwa kuficha aibu ya ATCL, hapo kusingekuwa na nyongeza kamwe, hayo maajabu unayosifia yangekuwa ni maajabu kama yote hayo angeyafanya na deni la taifa likabaki vile vile la trilioni 35, alilolikuta, sasa kwa miaka 5, amelikuza kwa trilion 25 hadi kufikia trilioni 60!!!hapo ana ushujaa gani?huku akituaminisha kila kinachojengwa ni pesa yetu(sisi ni matajiri)?ni suala la muda tu, ufisadi mwingi sana ulikuwepo , .
 
Maana yake huyu Kigwangala angekuwa rais tungelazimishwa kuvaa barakoa za N95 nchi nzima ,lockdown nchi nzima ..

Mzee wa copy and paste
 
Ahahahahaha mkuu unamaanisha mimi Leo ninaye kula kande langu kumbe nakula chakula ya hovyo
 
Yani ulitaka mtu aliyesoma digrii ya Engineering CoET alipwe sawa na mwalimu wa sanaa wa FoED Kisa wote wana 'elimu sawa'? Huna maana wewe!
 
Ungetumia muda huu kumsifia babu yako nadhani ingekuwa na maana kubwa zaidi
Kuna mwingine kasema tung'oe mashine ya nyungu pale Muhimbili haifai ni aibu kuwapo pale, Na huyo huyo alikua kimbele kuitest kama inafanya kazi ilipofungwa...

Nakwambia saiv MATAGA vichwa vyao vinafikiria TIT for TAT
 
Mataga hawa.

Baadhi wameshatoka kwa meko wanajipendekeza kwa mama.

Wengine bado wanaomboleza wanaandika taka taka kama hizi thread
 
Utawala wa kupata vyeo kwa kumsifia mtu umekwisha unapoteza mda na mishipa ya shingo kukutoka kusifia huu ujinga
 
msimamizi makini wa pesa za uma, mwenye kuhakikisha kuwa pesa iliyotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inatumika kwa malengo husika na aliyetufundisha mengi na hasa uthubutu wa kuyaendea mambo.
Je, matumizi ya mabilioni ya shilingi za Kodi za waTz maskini wa kutupwa kununulia binadamu (madiwani + wabunge wa upinzani) imekaaje?
 
Wewe Mwalimu unataka ulipwe sawa na mkusanya kodi? Acha ndoto za mchana, endeleeni kuchapa kazi.
 
Hao watumishi wa umma ni wepi? Tuna Imani na rais wetu Samia.Mfuate chato huyo umsifiaye, sisi tunasonga mbele
 
Kmlammko.
 
Kakatwe
 

Endelea na mapropaganda ya kumsifia dhalimu. Wenzako wa kina Kigwangalla wameshafika nje ya box.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…